Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana ametangaza baraza la Mawaziri hapo jana kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma. Ifuatayo ni sehemu ya hotuba yake akitangaza baraza hilo. Sikiliza kupitia http://www.klhnews.com kwenye "podcasts"


Unafikiri nini kuhusu baraza hili?

Title: KLH News Episode: Rais Kikwete atangaza Baraza la Mawaziri
http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2008-02-12T21_54_09-08_00
Enjoy!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Chenge wa nini? Ametajwatajwa sana kwenye mikataba mibovu akiwa mwanasheria mkuu enzi hizo, hawa wanatakiwa kujibu tuhuma bwana vinginevyo itakuwa ngumu. JK naye anatuchanganya!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...