Home
Unlabelled
safari ya skuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Cha ajabu nini hapo? mtajiri na gari lake maskini na watoto wake.Kuna wengine wanapelekwa na ma VX pia huko huko mbona hujatuwekea, michuzi acha kashfa alooo weyeeee hebu Nenda shinyanga kwa watani wetu kaangalie tax ni nini si afadhali hizo vespa, ah
ReplyDeleteDereva kavaa kibakuli cha chuma badala ya helmet.
ReplyDeleteBaba ajipenda mwenyewe sio? Kavaa Helmeti watoto bila bila. Kweli akili ni nywele .....
ReplyDeletewewe anon hapo juu naona unatafuta ugomvi na sisi wasukuma hukuona mkoa mwingine ila Shinyanga(usikonde)hii ni hali halisi ya Znz,asilimia kubwa wanatumia vespa na huna lakuwambia na vespa zao.labda serikali imetia mkazo kwa dereva,watoto vyovyote vile,laa sivyo asinge overload naku pandisha abiria bila helmet(kibakuli cha chuma).
ReplyDeleteWe anon wa kwanza mbona unakuwa mkali namna hiyo, kweli watu mna-matizo. hapo jamaa anaelezea tu means za usafiri kwa akili yako umetafasiri visivyo. mbona wa kwangu ukelewe hata hiyo pikipiki sina nampeleka kwa mguu. Sasa acha ya Usukumani au ujaluoni kwa hata baiskeli hatuna. Ukatuletea zile na mimi natoka zanziba sitoki tanzania
ReplyDeleteHuyu mzanzibari ama mzanzibara
ReplyDeletecheichei wa watu kapakiwa bila kibakuli,yeye bakuli hiha!!sasa hamuoni hata mtoto kafungwa plasta labda alijigonga baada ya breki kali.Anyway mambo ya Zenji hayo baada ya Urojo,ni Vespa.