watoto wakipelekwa skuli zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Cha ajabu nini hapo? mtajiri na gari lake maskini na watoto wake.Kuna wengine wanapelekwa na ma VX pia huko huko mbona hujatuwekea, michuzi acha kashfa alooo weyeeee hebu Nenda shinyanga kwa watani wetu kaangalie tax ni nini si afadhali hizo vespa, ah

    ReplyDelete
  2. Dereva kavaa kibakuli cha chuma badala ya helmet.

    ReplyDelete
  3. Baba ajipenda mwenyewe sio? Kavaa Helmeti watoto bila bila. Kweli akili ni nywele .....

    ReplyDelete
  4. wewe anon hapo juu naona unatafuta ugomvi na sisi wasukuma hukuona mkoa mwingine ila Shinyanga(usikonde)hii ni hali halisi ya Znz,asilimia kubwa wanatumia vespa na huna lakuwambia na vespa zao.labda serikali imetia mkazo kwa dereva,watoto vyovyote vile,laa sivyo asinge overload naku pandisha abiria bila helmet(kibakuli cha chuma).

    ReplyDelete
  5. We anon wa kwanza mbona unakuwa mkali namna hiyo, kweli watu mna-matizo. hapo jamaa anaelezea tu means za usafiri kwa akili yako umetafasiri visivyo. mbona wa kwangu ukelewe hata hiyo pikipiki sina nampeleka kwa mguu. Sasa acha ya Usukumani au ujaluoni kwa hata baiskeli hatuna. Ukatuletea zile na mimi natoka zanziba sitoki tanzania

    ReplyDelete
  6. Huyu mzanzibari ama mzanzibara

    cheichei wa watu kapakiwa bila kibakuli,yeye bakuli hiha!!sasa hamuoni hata mtoto kafungwa plasta labda alijigonga baada ya breki kali.Anyway mambo ya Zenji hayo baada ya Urojo,ni Vespa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...