hapa ni katikati ya jiji la tanga ambako dogo ametia timu. bofya hapa upate mengi mengine ya huko waja leo waondoka leo na kwingineko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ah jamani mbona 'ghost town'...,magari hamna,binadamu wachache,maduka yamefungwa???au wote wamekimbilia huko marekani kumpigia kura Mzee Mbaraka Obama???

    ReplyDelete
  2. weweee jumapili wenzio hawadhuruli kama wewe wanatumia nafasi ya weekend kukaa na familia zao

    ReplyDelete
  3. jamani home, sweet home!!! hapo karibu kwa yohana muuza chips, uspime!!!
    nana

    ReplyDelete
  4. Mbona hiyo link hai direct popote napata error code...nadhani inabidi i direct to
    http://www.blogger.com/www.michuzijr.blogspot.com
    ITS NOT WORKING...check tena

    ReplyDelete
  5. jamani nimemiss home
    cheki mji wa kistaarab unavyokaa yani patamu kweli.
    mohd case

    ReplyDelete
  6. ngoja niwanyambulishie hapo walipo hao mwatu wa baiskeli wakizunguka mzunguko huo kwa upande wa kulia wanakuwa kama wanaelekea shule ya sekondari eckenforde wakinyoosha nayo maa wakinyoosha na hiyoni mpaka splendid hotel na hao jamaa ikiwa watanyoosha moja kwa moja watajuwa wanellekea chuo majestick sinema wanakutana na soko la uzunguni kwa mbele na wakipinda kushoto kwao hao jamaa watakuwa wanaelekea hostel za usagara au chuo cha afya kwa upande wa kulia kwao kwa kifupi hapo ni uwanja wa mpira wa MKWAKWANi wakigeuka kulia kwao wanakutana na jengo la TFA sizani kama linaitwa tena ivo walikotoka nyuma hapo wametokea railway na hapo walipo ni mkabala kabisa na muuza chips maarufu tanga anaitwa YOHANA

    tanga raha

    ReplyDelete
  7. Michuzi akhsanteeeeeeeeeee!!!
    Umen'lowesha leo mie!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. umenikumbusha wewe unaesema kwa yohana muuza chips!!! yaani long time sijui kama mpaka leo anauza huyo yohana, em2da@yahoo.com

    ReplyDelete
  9. Oh!! Jamani.. nakumiss sana jamani.. angalia mji ulivyotulia, unaonekana hivi hivi wakiungwana.w.end kila mtu nyumbani.
    Hahahaha. we hapo juu umenikumbusha chips za kwa Yohana..si mchezo aha ha ha.

    ReplyDelete
  10. Michuzi "unapeana shavu" na bwana mdogo wako sio? Poa tu.
    Ila mwambie ajifunze matumizi ya herufi 'L' na 'R' katika maandishi yake.
    Hilo linamtesa sana DOGO yule!
    Saidieni jamani!

    ReplyDelete
  11. SAWA HATUKATAI TANGA RAHA LAKINI ASILI YENU YA KUISHI KWENYE ZILIZOEZEKWA KWA MAKUTI BADO HAMUJAACHA. (WAONGO,WAMBEYA NA WADAKU KIAMA) TEH TEH TEH TEH...TANGA TANGATA

    ReplyDelete
  12. mbona hakuna watu wala magari jamani?
    mmmmmmmmhhhh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...