
hapa ni katikati ya jiji la tanga ambako dogo ametia timu. bofya hapa upate mengi mengine ya huko waja leo waondoka leo na kwingineko
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ah jamani mbona 'ghost town'...,magari hamna,binadamu wachache,maduka yamefungwa???au wote wamekimbilia huko marekani kumpigia kura Mzee Mbaraka Obama???
ReplyDeleteweweee jumapili wenzio hawadhuruli kama wewe wanatumia nafasi ya weekend kukaa na familia zao
ReplyDeletejamani home, sweet home!!! hapo karibu kwa yohana muuza chips, uspime!!!
ReplyDeletenana
Mbona hiyo link hai direct popote napata error code...nadhani inabidi i direct to
ReplyDeletehttp://www.blogger.com/www.michuzijr.blogspot.com
ITS NOT WORKING...check tena
jamani nimemiss home
ReplyDeletecheki mji wa kistaarab unavyokaa yani patamu kweli.
mohd case
ngoja niwanyambulishie hapo walipo hao mwatu wa baiskeli wakizunguka mzunguko huo kwa upande wa kulia wanakuwa kama wanaelekea shule ya sekondari eckenforde wakinyoosha nayo maa wakinyoosha na hiyoni mpaka splendid hotel na hao jamaa ikiwa watanyoosha moja kwa moja watajuwa wanellekea chuo majestick sinema wanakutana na soko la uzunguni kwa mbele na wakipinda kushoto kwao hao jamaa watakuwa wanaelekea hostel za usagara au chuo cha afya kwa upande wa kulia kwao kwa kifupi hapo ni uwanja wa mpira wa MKWAKWANi wakigeuka kulia kwao wanakutana na jengo la TFA sizani kama linaitwa tena ivo walikotoka nyuma hapo wametokea railway na hapo walipo ni mkabala kabisa na muuza chips maarufu tanga anaitwa YOHANA
ReplyDeletetanga raha
Michuzi akhsanteeeeeeeeeee!!!
ReplyDeleteUmen'lowesha leo mie!!!!!!!!!!
umenikumbusha wewe unaesema kwa yohana muuza chips!!! yaani long time sijui kama mpaka leo anauza huyo yohana, em2da@yahoo.com
ReplyDeleteOh!! Jamani.. nakumiss sana jamani.. angalia mji ulivyotulia, unaonekana hivi hivi wakiungwana.w.end kila mtu nyumbani.
ReplyDeleteHahahaha. we hapo juu umenikumbusha chips za kwa Yohana..si mchezo aha ha ha.
Michuzi "unapeana shavu" na bwana mdogo wako sio? Poa tu.
ReplyDeleteIla mwambie ajifunze matumizi ya herufi 'L' na 'R' katika maandishi yake.
Hilo linamtesa sana DOGO yule!
Saidieni jamani!
SAWA HATUKATAI TANGA RAHA LAKINI ASILI YENU YA KUISHI KWENYE ZILIZOEZEKWA KWA MAKUTI BADO HAMUJAACHA. (WAONGO,WAMBEYA NA WADAKU KIAMA) TEH TEH TEH TEH...TANGA TANGATA
ReplyDeletembona hakuna watu wala magari jamani?
ReplyDeletemmmmmmmmhhhh