kuna mdau kakumbuka kwamba kuna mdau kaomba mbuzi mwenye metege. hakusema anamtaka kwa shughuli gani.. nawasilisha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. huyu meeeeeh alipata ajali ama?

    ReplyDelete
  2. Huyo atauzwa kwa bei mbaya kweli kwa washirikina! Tena mbuzi mweusi!

    ReplyDelete
  3. Duh jamani ujinga hauna mwisho...mbuzi maskini wa mungu kidogo kilema,sasa chakustaajabisha nini??? kama vitu hivyo ndio vinawastarehesha wabongo basi mimi sina maneno!!!

    ReplyDelete
  4. huku duniani,ukizaa mtoto ana matege,unaweza kushtakiwa,maana ulikuwa hufuati maelekezo ya daktari

    ReplyDelete
  5. huyu mbuzi ni pozi za kimiss au alikuwa anashika sufuria la ugali? mbuzi mzuka

    ReplyDelete
  6. Kwa nia njema tu, si vema kuzalilisha wanyama kwani hawawezi kujibu mapigo. Ni vema ukamweka binadamu kwani ataweza kukabiliana na malumbano yatokanayo na maoni ya wasomaji.

    ReplyDelete
  7. HUYU ANGEKUWA MCHEZA MPIRA WA MIGUU ANGEUZWA KWA BEI MBAYA SANA, UNAMKUMBUKA VAVA WA BRAZIL NA BANANA BEND ZAKE.

    ReplyDelete
  8. MICHUZI ARE YOU MAD?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...