Home
Unlabelled
tegezzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu meeeeeh alipata ajali ama?
ReplyDeleteHuyo atauzwa kwa bei mbaya kweli kwa washirikina! Tena mbuzi mweusi!
ReplyDeleteDuh jamani ujinga hauna mwisho...mbuzi maskini wa mungu kidogo kilema,sasa chakustaajabisha nini??? kama vitu hivyo ndio vinawastarehesha wabongo basi mimi sina maneno!!!
ReplyDeletehuku duniani,ukizaa mtoto ana matege,unaweza kushtakiwa,maana ulikuwa hufuati maelekezo ya daktari
ReplyDeletehuyu mbuzi ni pozi za kimiss au alikuwa anashika sufuria la ugali? mbuzi mzuka
ReplyDeleteKwa nia njema tu, si vema kuzalilisha wanyama kwani hawawezi kujibu mapigo. Ni vema ukamweka binadamu kwani ataweza kukabiliana na malumbano yatokanayo na maoni ya wasomaji.
ReplyDeleteHUYU ANGEKUWA MCHEZA MPIRA WA MIGUU ANGEUZWA KWA BEI MBAYA SANA, UNAMKUMBUKA VAVA WA BRAZIL NA BANANA BEND ZAKE.
ReplyDeleteMICHUZI ARE YOU MAD?
ReplyDelete