Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiagana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Agumba Computers Limited, Bw. Paul Koyi jani, baada ya mazungumzo yao kuhusu mradi wa Computer mashuleni wa Teknohama unaotekelelezwa kwa pamoja kati ya kampuni hiyo ya Tanzania na Freioss ya Ujerumani. Watatu kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Freioss

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Goddam! Pinda is ugly!

    ReplyDelete
  2. Hivi hawa wapiga picha vipi au kamerazao vimeo? Mbona waziri mkuu wetu anatoka kwenye picha zao kama ana sura ya mbao vile!!! Au ni macho yangu tu?

    ReplyDelete
  3. Mambo vipi Kaka Michuzi? Kwa mara nyingine tena hongera kwa kazi nzuri na asante kwa kutupa habari za nyumbani .Kaka Michuzi naomba nipandishie hii kwa wadau,
    nauliza kama kuna Mtanzania anayeishi Brooklyn,New-York. Mimi na familia yangu tunaishi hapa na ningependa kufahamiana na familia ya watanzania kama wapo mnaoishi hapa. Unaweza ukawasiliana nami kwa email sophieyk@yahoo.com.

    Asante Kaka Michuzi
    Dada Sophie

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa Pinda anahitajika kuwa mwangalifu na wafanya biashara wengine ni malobyst wa nguvu asije kujikuta katika kashifa. Chakujua watanzania wa sasa si kama wale wa zamani. Si unajua sasa shule kila kata hata kama hazina walimu! TUNAWAMULIKA

    ReplyDelete
  5. MZEE KOYI UMENIKUMBUSHA MBALI SANA KUNDUCHI.NAKUTAKIA KAZI NJEMA MAANA HAYA MAFANIKIO YAKO KUNA MTU ITAMCHARGE MAISHA YAKE ZAIDI NA ZAIDI ENDELEA NA MOYO WAKO HUO HUO

    KAZI NJEMA

    ReplyDelete
  6. hivi kwa nini huyu Pinda huwa haangalii watu kwa uso....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...