Home
Unlabelled
teknohama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Goddam! Pinda is ugly!
ReplyDeleteHivi hawa wapiga picha vipi au kamerazao vimeo? Mbona waziri mkuu wetu anatoka kwenye picha zao kama ana sura ya mbao vile!!! Au ni macho yangu tu?
ReplyDeleteMambo vipi Kaka Michuzi? Kwa mara nyingine tena hongera kwa kazi nzuri na asante kwa kutupa habari za nyumbani .Kaka Michuzi naomba nipandishie hii kwa wadau,
ReplyDeletenauliza kama kuna Mtanzania anayeishi Brooklyn,New-York. Mimi na familia yangu tunaishi hapa na ningependa kufahamiana na familia ya watanzania kama wapo mnaoishi hapa. Unaweza ukawasiliana nami kwa email sophieyk@yahoo.com.
Asante Kaka Michuzi
Dada Sophie
Mheshimiwa Pinda anahitajika kuwa mwangalifu na wafanya biashara wengine ni malobyst wa nguvu asije kujikuta katika kashifa. Chakujua watanzania wa sasa si kama wale wa zamani. Si unajua sasa shule kila kata hata kama hazina walimu! TUNAWAMULIKA
ReplyDeleteMZEE KOYI UMENIKUMBUSHA MBALI SANA KUNDUCHI.NAKUTAKIA KAZI NJEMA MAANA HAYA MAFANIKIO YAKO KUNA MTU ITAMCHARGE MAISHA YAKE ZAIDI NA ZAIDI ENDELEA NA MOYO WAKO HUO HUO
ReplyDeleteKAZI NJEMA
hivi kwa nini huyu Pinda huwa haangalii watu kwa uso....
ReplyDelete