Mshindi wa big brother 2007, Richard, leo amezindua rasmi tovuti yake (http://www.richardbba2winner.com/) ndani ya hoteli ya Holiday Inn.Mai waifu wake alikuwepo pia kumpa tafu kama picha zinavyojieleza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza, ni nini haswa maana ya kufungua hiyo website? Yaani swali ni kwamba inawasaidiaje watanzania kwa ujumla? Na kama ni personal website wat is the biggie mbona kila siku wafungua website hata Michuzi ana ya kwake.

    ReplyDelete
  2. Miongoni mwa wazaramo,dengeleko,mmatumbi n.k.huyo mama wa kizungu aonekana kama gumba lenye majonzi!!!yaani pekeeee

    ReplyDelete
  3. tovuti ya nini? Biashara au super model...????Tupe basi jina tuipitie...

    tovuti kuzinduliwa supa holidei Inn hiyo babu kubwa....

    ReplyDelete
  4. samahani sikupenda maoni yako mabaya dhidi ya mama wa kambo.

    ReplyDelete
  5. hana mama wa kambo, au kiswanglish hakipendi.

    ReplyDelete
  6. hili jimama linavizia hizi laki, zikiisha hatutamwona tena, wazungu opportunist and hipokriti!

    ReplyDelete
  7. michu huyu jamaa ni celebrity tayari aisee, yaani naona website nayo inavutia sio mchezo, all the best.

    ReplyDelete
  8. Wewe wacha kumtetea kijizazi cha makaburu!!!au huna kumbukumbu walivyowatesa babu zetu???

    ReplyDelete
  9. Wewe wacha kumtetea kijizazi cha makaburu!!!au huna kumbukumbu walivyowatesa babu zetu???

    ReplyDelete
  10. Michuzi huyo jamaaa ana nini mpaka mnaangaika na habari zake, ebu nambie ni kitu gani amekifanya ambacho kinawafanya nyie waandishi wa bongo kuangaika hivyo ,kila siku Richard,ebu tueleweshe manake tuko wengi ambao hatujui huyu jamaa ni nani na anafanya nini.

    ReplyDelete
  11. wacheni kuingili maisha ya watu, naona kuna watu wana mzunguzia mke wa huyu kijana Rchard. Mkwe ni mzungu (canadian) ni uwamuzi wake kuoa mzungu na ukizingingatia alikuwa naye kabla haja shinda big brother

    dawa ni kufunga mimo yenu musio jua mahusiano yao kama mlitaka ao dada zenu basi wamechelewa mpeni Kanumba

    ReplyDelete
  12. amenifurahisha sana sasa hv ameanza kuvaa vizuri na amekuwa presentable. kitu kingine jaman watanzania wenzangu hv ni lini tutataacha midomo midomo? yaan watu hampitwi kila kitu mbaka muongee tena maskin yaan mnaogelea maisha binafsi ya mtu. embu tuache hiyo tabia jaman kwan mmekosa kazi za kufanya? mbona kazi nyingi sana embu tuache hizo tabia za kishamba eboooooo!!!!!

    ReplyDelete
  13. Bongooooo hiyooooo....tovuti hiyo inafanyiwa press release...kweli hamna habari ndio maana things like this mnakusanyika kupiga picha....

    Website nzuri lakini press release ya nini??? Hebu mtwambie labda kuna kitu tunamiss siye huku...Mimi sioni sababu ...ya kuweka press release ya personal website....Ingekua ya biashara kweli ningeelewa ni mesona ninachoona ni personal informations.... kwa wingi manake kama ni biashara hizo personal information sijui ni za nini


    usinitupe kapuni kaka yangu ni maoni yangu tu haya

    ReplyDelete
  14. i really appreciate. keep it up richie

    ReplyDelete
  15. wengine ni maneno tu, kwani akiwa na mzungu kinawauma nini, si ni msimamo wake, muwe mnaridhika na vya wenzenu, kila mtu ana chaguo lake, anajitahidi ana speed huyo, all the best.

    ReplyDelete
  16. mkome kumsema mtoto wa mwenzenu sio mshamba kama nyie wajinga kabisa kumuandama mtomto wa watu mna roho mbaya watanzania bwana hamutakiani mema kabisa kwani nyie mmekatazwa kuoa mzungu ovyoooooooooooo wivu tu shenz!!!!!!!!!!!!!!!kubalini huyu ni winner na nyieeeeeee loooooooserssssssssssss

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...