Home
Unlabelled
uzinduzi wa tovuti ya richard
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba kuuliza, ni nini haswa maana ya kufungua hiyo website? Yaani swali ni kwamba inawasaidiaje watanzania kwa ujumla? Na kama ni personal website wat is the biggie mbona kila siku wafungua website hata Michuzi ana ya kwake.
ReplyDeleteMiongoni mwa wazaramo,dengeleko,mmatumbi n.k.huyo mama wa kizungu aonekana kama gumba lenye majonzi!!!yaani pekeeee
ReplyDeletetovuti ya nini? Biashara au super model...????Tupe basi jina tuipitie...
ReplyDeletetovuti kuzinduliwa supa holidei Inn hiyo babu kubwa....
samahani sikupenda maoni yako mabaya dhidi ya mama wa kambo.
ReplyDeletehana mama wa kambo, au kiswanglish hakipendi.
ReplyDeletehili jimama linavizia hizi laki, zikiisha hatutamwona tena, wazungu opportunist and hipokriti!
ReplyDeletemichu huyu jamaa ni celebrity tayari aisee, yaani naona website nayo inavutia sio mchezo, all the best.
ReplyDeleteWewe wacha kumtetea kijizazi cha makaburu!!!au huna kumbukumbu walivyowatesa babu zetu???
ReplyDeleteWewe wacha kumtetea kijizazi cha makaburu!!!au huna kumbukumbu walivyowatesa babu zetu???
ReplyDeleteMichuzi huyo jamaaa ana nini mpaka mnaangaika na habari zake, ebu nambie ni kitu gani amekifanya ambacho kinawafanya nyie waandishi wa bongo kuangaika hivyo ,kila siku Richard,ebu tueleweshe manake tuko wengi ambao hatujui huyu jamaa ni nani na anafanya nini.
ReplyDeletewacheni kuingili maisha ya watu, naona kuna watu wana mzunguzia mke wa huyu kijana Rchard. Mkwe ni mzungu (canadian) ni uwamuzi wake kuoa mzungu na ukizingingatia alikuwa naye kabla haja shinda big brother
ReplyDeletedawa ni kufunga mimo yenu musio jua mahusiano yao kama mlitaka ao dada zenu basi wamechelewa mpeni Kanumba
amenifurahisha sana sasa hv ameanza kuvaa vizuri na amekuwa presentable. kitu kingine jaman watanzania wenzangu hv ni lini tutataacha midomo midomo? yaan watu hampitwi kila kitu mbaka muongee tena maskin yaan mnaogelea maisha binafsi ya mtu. embu tuache hiyo tabia jaman kwan mmekosa kazi za kufanya? mbona kazi nyingi sana embu tuache hizo tabia za kishamba eboooooo!!!!!
ReplyDeleteBongooooo hiyooooo....tovuti hiyo inafanyiwa press release...kweli hamna habari ndio maana things like this mnakusanyika kupiga picha....
ReplyDeleteWebsite nzuri lakini press release ya nini??? Hebu mtwambie labda kuna kitu tunamiss siye huku...Mimi sioni sababu ...ya kuweka press release ya personal website....Ingekua ya biashara kweli ningeelewa ni mesona ninachoona ni personal informations.... kwa wingi manake kama ni biashara hizo personal information sijui ni za nini
usinitupe kapuni kaka yangu ni maoni yangu tu haya
i really appreciate. keep it up richie
ReplyDeletewengine ni maneno tu, kwani akiwa na mzungu kinawauma nini, si ni msimamo wake, muwe mnaridhika na vya wenzenu, kila mtu ana chaguo lake, anajitahidi ana speed huyo, all the best.
ReplyDeletemkome kumsema mtoto wa mwenzenu sio mshamba kama nyie wajinga kabisa kumuandama mtomto wa watu mna roho mbaya watanzania bwana hamutakiani mema kabisa kwani nyie mmekatazwa kuoa mzungu ovyoooooooooooo wivu tu shenz!!!!!!!!!!!!!!!kubalini huyu ni winner na nyieeeeeee loooooooserssssssssssss
ReplyDelete