waziri ally akiwa nami na mdau kwame wa sauti za busara zenji
waziri ally wa njenje enzi hizo bado yuko shule akianza libeneke na lucy stars huko tanga
waziri akiwa na njenje hivi sasa
waziri (nyuma kushoto) na kundi zima la lucy stars enzi hizo bado anasoma huko tanga
waziri akiwa na kundi zima la the kilimanjro band 'wana njenje' siku ya mkesha wa mwaka mpya. siku ya wapendanao ya leo waziri na kundi lake hili watakuwepo klabu ya maisha ostabei


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Khaaa!!!Dada kiatu kama kachapia hivi!!!

    ReplyDelete
  2. Anony hapo juu, hapana dada kiatu hajachapia. Ameamua kumatchisha na mapambo... angalia kwa umakini picha!

    ReplyDelete
  3. Duh!
    Kweli hamna mtu mwembamba duniani.
    Bwana Waziri ndo alikuwa mwembamba hivyo!?!
    Nakumbuka kile kinanda chake kwenye ule wimbo wa JUWATA- "Nilikupeleka kwa wakwe zaako, ukaonane na ndungu zangu ee! Hata mama yangu......"

    ReplyDelete
  4. hivi huyu wazirisi ndiye baba yake pepe wa luton, kamrembo kadogodogoooooo! kachiwawa. nampenda sana huyu mdada, kama ndio mambo basi nitamalizana na mzee waziri juuu kwa juu.

    ReplyDelete
  5. wewe anon hapo juu huyo dada viatu amemechisha na mapazia ya steji

    ReplyDelete
  6. waziri kalikung'uta organ enzi za msondo katika wimbo ;nasikitika kijana;enzi hizo ukienda msondo wanaume wanataka kuondoka na wewe,mkeo hawamtaki

    ReplyDelete
  7. Halafu michu bana wewe siku hizi!! sijawahi sikia lucy star Tanga...au unamanisha Lucky star???Mweh!!





    MWTYM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...