Home
Unlabelled
chama kubwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli kupenda ugonjwa.Pan chama kubwa ya zamani.Sasa mdebwedo tu hati hati ya kushuka daraja.Hamna cha kuonewa wala nini.Ligi kuu sio saizi yenu kachezeni mchangani.
ReplyDeleteDuh...na hizo 4 X 4 lendi kruza ni za wachezaji wa Pan au siyo!!!manaake kwetu Msimbazi kuna daladala na baisikeli tu!!!Nyie Yanga mnanini kwenu???
ReplyDeleteMICHU WEE ACHA TU UNANIKUMBUSHA MBALI NGOJA NIKUPE KIKOSI CHA MAUWAJI. 1 JUMA PONDAMALI (MENSHA) 2 JAFARI ABDULLAHAMAN 3 MOHAMED MKWECHE 4 LEDIGAD TENGA 5 JELLA MTANGWA.6 MOHAMED RISHAD (ADOF) 7 GODIAN MAPANGO. 8 HUSSEIN NGURUNGU(MASTER).9 ABDALLAH BURUHAN 10PETER TINO 11 MOHAMED KISWABI, LIZEVU 1 IDD MSAKAA 2 JOHN FAYA 3 KASSIM MATITU 4ROMA MAPUNDA.5 ALLY KATOLILA.6CALOS MWINYIMKUU.7SAAD MATEO, NAONA NIISHIE HAPO KWANI MACHOZI YANANITOKA SANA
ReplyDeleteDar Pan African na Dar Young African zilikuwa moja Sema Mzee Mangara alizigawanyisha Pan African ni ya Wazee wenyewe Matajiri wa Mtaa wa Swahili. Simba ndio kiboko ya wote hawa Simba Taifa Kubwa Pan ilikuwa Zamani mipira kama Ulaya timu kubwa zinafanya vizuri sababu ya pesa ila Pan ilikuwa timu nzuri sana kina Tigana, Akida makuda, Thomas Mashala. wote walitokea hapo. Issa Michuzi plz Weka pic za Pan African 92-93-94 na Viongozi wa Muda huo.
ReplyDeleteKweli mcihu wewe bado mpenzi wa timu halisi, vijana wengi hawajui kwamba Pan African ndio ilikua club inayonyanyasa. Itabidi tuichangie timu yetu irudi inapotakiwa.
ReplyDeleteTimu yangu ya Pani Afrika ikishuka daraja nitasikitika sana. timu yetu imekuwa ikipigwa vita kwa muda mrefu sana.
ReplyDeletekikosi kilichocheza na vita ya zaire:
1.Pondamali. 2.Jafar Abdulrahman 3.Mohamed Mkweche 4.Leodgar Tenga 5.Jella Mtagwa. 6.Mohamed Rishard 7.Gordian Mapango 8.Muhaji Mukhi 9.Kitwana Manara 10.Mohamed Tostato 11.Kassim Manara.
kocha:Athumani Kilambo
kikosi kilichotwaa ubingwa:
1.Iddi Msakaa 2.Mohamed Mkweche 3.John Faya 4.Rashid Iddi "chama" 5.Jella Mtagwa 6.Salum Carlos 7.Abdalah Burhani 8.Hussein Ngulungu 9.Peter Tino 10.Mohamed Tostao Katolila 11.Ibrahim Kiswabi
kocha: Mohamed Msomali