HUYU BINTI ANAITWA SYLIVIA CHIBILITI WADAU MTIZAMENI JAMANI ANAVYOTESA KWENYE POP IDOL MAREKANI. AMA KWELI CHIBILITI IZ BIGI NEMU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Chinga nini? SERIKALI INATAKA KUWAFUKUZA WAMAKONDE WA MSUMBIJI WARUDI KWAO HALI NDIO KAMA HIVI.

    M= MMAKONDE P = Police

    P- anamuuliza jamaa wa kwanza
    unakaa wapi kijana.

    M- Mchachani(Msasani) Ah Police
    akamuweka kwenye karandinga.

    P- Akaanza kumuonesha mwengine
    sigara ya SM, Hii Sigara gani.

    M- Hiyo si Echi M(Sm) naye ndani.

    P- mwengine anaoneshwa Sigara
    oya hii ni nini?

    M- Hiyo si Chigara(sigara) hiyo
    jamaa naye ndani.

    P- Oya wewe wa Mwisho Hii Kitu
    gani.

    Yule Mmakonde wa mwisho akaanza kujifanya mjanja anajuwak uliko wote asirudishwe kwao. Kazi ikaanza kama hivi.

    P - Oya wewe Rijamaa Kuja Hapa Hii Ni Nini? na Unakaa Wapi.

    M- Mimi Chikai Mchachani, na Chichemi kama hiyo Chigara Wala Echi M, Au Chibiliti. hamumpati Mtu hapa.

    Kumbe ndio kaharibu kabisaaaaaa.

    ReplyDelete
  2. That's the way to go gal and I applaud you. Check this out, once you make it to the semis, you got you a recording deal and that's for sure. So keep your head up and keep doing your thing. Thats what I call representing bongo. Never heard and never will I compare with any other Tanzanian artist who made this far. All I can say gal" you showed us batter than you can tell us and you did the ur thang".
    For you all haters out there just shut the f**k up.

    ReplyDelete
  3. Nime msikiliza anavyo tesa au anavyo teseka. Vitu viwili nilivyo ona au kusikia comment za Majaji ni Matatizo ya Matamshi ya Maneno ya Kiingereza eg Song kuwa Thong, na walimwambia kuwa alikuwa ana -shout badala ya kuimba, na majaji kwa kweli walikuwa very diplomatic kwake hivyo wamemuomba akaangalie Video yake ili aweze kutambua weakness zake.
    Lakini hadi amefika hapo amejitahidi.

    ReplyDelete
  4. Kumbe hawa vibiriti wamo eti!

    ReplyDelete
  5. Alishiriki mashindano ya mwaka 2003na kutolewa katika round za kwanza kwanza kabisa. Sina uhakika kama ana damu ya kibongo kwani kuna wamarekani weusi wanaopenda sana uafrika hudakia jina lolote la kiafrika na kujiita. Ni jambo la kawaida kukutana na waamerika weusi wenye majina ya kiafrika kwa mfano Maulana Kalenga, Kwame, Kenyatta, Kambarage, Mandela, n.k.

    ReplyDelete
  6. Au majina kama Kobe, Kanye,

    ReplyDelete
  7. Aaaah Chibiriti weeeee... Mungu akupe nini tena? Kwanza kakutoa porini "Ntwara" kakusogeza karibu na Vatican ambapo "Mteule" wake (Papa) anaishi (Ma-ustaadh na Wasabato msimaindi tunachangamsha kijiwe tu), pili naona mtoto huyu wa California kazimika na jina lako mpaka ameliadapt, na tatu kuna Manka ameshaposwa kwa niaba yako na wadau wa globu yetu hii ya jamii ..

    Jamanii Chibiriti Mungua akupe nini tena?

    ReplyDelete
  8. CHIBIRITI USITUANGUSHE WANA GLOBU HII TUMESHAPELEKA BARUA YA UCHUMBA MOSHI TENA NA WEWE UNATULETEA MWANAMUZIKI TENA YUKO UNYAMWEZINI UNAONA BORA MWANAMUZIKI KULIKO CV...AU HUVAI SAIZ 9 WEWE NDIO UNAJITOA KIAINA AINA?NJOO HUKU UK WANAWEZA KUKUONGEZEA SAIZI UAYOTAKA .. AAAAH CHIIRITI MTARAJIWA KWA MANKA TUMESHAANZA KUCHAPISHA KADI ZA MCHANGO HUKU UK

    ReplyDelete
  9. Dada, you cannot disagree with Simon Cowell and win. Never! Critisms were spot-on; shouty, over-pronunciation and over-the-top.

    Talking of black churches? what black churches?

    Unatia aibu for being over-dramatic.

    ReplyDelete
  10. ha ha ha chibiritiiiiiiiiii kweli uko juu aliye chini akungoje akivunjika guu shauri yake big up sana.mdau
    KUALA LIMPUR

    ReplyDelete
  11. NAOMBA NIFAHAMISHWE HIVI WATU WAPO KWENYE CAMPAIGN YA KUMKUZA CHIRIBITI AU I'M MISSING SOMETHING HERE? I'M A BIG FUN OF CHIRIBITI,WHEN I SAW THE HEADUNG CHILIBITIZZZZZZZZZZ NIMEFIKIRI NDUGU YETU WA ITALY KATULETEA SALAMU,KUMBE AMERICAN IDOL.HII IDOL YA MWAKA GANI HATA TULETEWE LEO,I THINK THE MESSAGE IS MISLEADING,UNGESEMA JINA LA CHILIBITI SIJUI KIBATARI AU CHAKRABOTI LIMEANZA KUTAMBA SIKU NYINGI,NINGEKUELEWA LAKINI JINSI ULIVYO IANDIKA IT'S IRRELEVANT.
    AS FOR SYLVIA I WISH YOU WELL,AND HOPE YOU'VE USED THE CHANCE FOR FAME IN AMERICAN IDOL TO FURTHER YOURSELF.

    ReplyDelete
  12. She has some talent but she obviously lacks clarity of what she is saying. She did in fact say she was 'feeling my thong' to mean she was 'feeling her song'.

    Maybe it is the Makonde thing in her.

    I also fail to see intelligence in her, why should visiting a black church be criteria for anyone to know the difference between a good singer and an amateur?!

    I would not mind watching u singing with Njenje Band at a local Dar Hotel for as far as American Idol is concerned, bado!!!

    ReplyDelete
  13. Jamani mbona ana MIGUU kama FITO!?
    Khaa!

    ReplyDelete
  14. MSAADA KWENYE GLOBU,

    Wadau naomba kuuliza,

    Chibiliti huyu ni Wifi yake manka, au ni majina tu yanafanaa??

    Namaanisha huyu ni ndugu yake Yule jamaa yetu Kibiriti wa Kibatari??

    Nisaidieni wajameni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...