FRANCIS CHEKA KUTOKA MJI KASORO BAHARI SASA HIVI KAMPIGA KWA K.O. RAUNDI YA 10 HASSAN MATUMLA KATIKA PAMBANO LAO LA KUWANIA UBINGWA WA NDONDI DUNIA MKANDA WA UZITO WA KATI WA UNIVERSAL BOXING ORGANISATION UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE.

PICHANI NI FRANCIS CHEKA (SHOTO) NA HASSAN MATUMLA (KULIA) WAKIWA NA PROMOTA SAIDI SASSY AKIWA NA MABONDIA HAO JANUARY 10 2008 WALIPOKUWA WANATANGAZA MPAMBANO HUO


IKUMBUKWE HUYU FRANCIS CHEKA NDIYE ALIYEMSHINDA RASHID 'SNAKE BOY' MATUMLA KWENYE MCHUANO WAO MWAKA JANA, NA USIKU HUU KAMTWANGA MDOGO MTU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inavyoelekea huyu jamaa (Cheka) atakuja kupigana na kina matumla wote akiwemo baba yao na hata wale ambao hawajihusishi na ngumi,

    Eti kwamba hata kama kuna ambao sio mabondia, jamaa atawachokoza mitaani ili wazipige then aweke historia ya kupigana na familia nzima

    ReplyDelete
  2. Michu tuwekee picha za ulingoni pliz!!! tuone jinsi hassan alivyokutana na kigingi!!! au na ww ni upande wa matumla???

    ReplyDelete
  3. HAPA..MSUBA.. IS "..RICHABO.."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...