
PICHANI NI FRANCIS CHEKA (SHOTO) NA HASSAN MATUMLA (KULIA) WAKIWA NA PROMOTA SAIDI SASSY AKIWA NA MABONDIA HAO JANUARY 10 2008 WALIPOKUWA WANATANGAZA MPAMBANO HUO
IKUMBUKWE HUYU FRANCIS CHEKA NDIYE ALIYEMSHINDA RASHID 'SNAKE BOY' MATUMLA KWENYE MCHUANO WAO MWAKA JANA, NA USIKU HUU KAMTWANGA MDOGO MTU
Inavyoelekea huyu jamaa (Cheka) atakuja kupigana na kina matumla wote akiwemo baba yao na hata wale ambao hawajihusishi na ngumi,
ReplyDeleteEti kwamba hata kama kuna ambao sio mabondia, jamaa atawachokoza mitaani ili wazipige then aweke historia ya kupigana na familia nzima
Michu tuwekee picha za ulingoni pliz!!! tuone jinsi hassan alivyokutana na kigingi!!! au na ww ni upande wa matumla???
ReplyDeleteHAPA..MSUBA.. IS "..RICHABO.."
ReplyDelete