Wadau wenzangu napenda kuwajuulisha kwamba nimefungua website nyingine kutokana na maombi niliyoyapata


nenda www.myspace.com/ciphaheadzafrica utaweza kusikiliza nyimbo mbali mbali za kiswahili zilizotengenezwa na sisi na tunatoa offer za beat za bure tutaziweka j'pili 24/03/08 kwa ajili ya kuwasaidia wasanii chipukizi.

Ukiwa na swali usiwe na shaka tumia email hii ciphaheadzmusic@hotmail.co.uk,

siku njema na nawatakiwa mechi njema kwa wapenzi wa liverpool

Mdau
ciphaheadzafrika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Oya Beat Kali Ila Nyimbo Jamaa Mistari mibovu unahitaji mtu kama mangweir au Fid Q. kunajamaa kashusha chorus ya kilugha kidogo ndio kapatia Beat nimekubali jitahidi sema tafuta mtu anashusha mashairi mazuri hasa Fid Q inamfaa sana. alafu upate mtu anashusha chorus kama Lady Jaydee. ongezeni bidii vijana. hiyo ndio si mchezo jamaa hapo wamekosea tu mistari ya maana.

    ReplyDelete
  2. Vitu vingine vya kujitangazia bwana, mi nilifikiri muziki wa kweli kumbe ni play back (Flava)? Tafuteni ajira za maana, hiyo Hip Hop waachieni wenyewe ma-alosto black americans.

    ReplyDelete
  3. Mbona Kali tu nyimbo wacheni wivu wazee sema inahitaji watu kama alivyo sema jamaa juu hapo, mtu wakuteremsha mistari ya maana kama Mh.Temba au Fid Q Jamaa ilo Pozi kidogo Punguza watu watakuona kama Suge Knight Kidogo.

    ReplyDelete
  4. Farooooouq nimekubamba wangu, hapo hapo mwana naona Ma-Birmingham yamekupendeza hapa lazima nitamwambia OMari pale KONA SENTA apige manyimbo hayo huku Chris akiwa nakula vichwa. oyaaaa!!! msaada SIGARA wangu nitamwambia vijana wako MOSE na AMANI, KOBA wakudondoshee mistari wangu.
    Mdau.
    Chang'ombe.

    ReplyDelete
  5. ciphaheadz

    nakubadiliana na nyinyi ndiyo maana nataka nitoe beat za bure ili niweze kufanya kazi na wasanii tofauti tofauti,kama unajuwa unakipaji holla at u'r boy email nimeiyacha hapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...