Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi ninakubaliana na KP mia kwa mia. Yaani nilivyosoma komenti za Mhe. Anna Malecela na wenziwe kuhusu ushindani katika sekta ya umeme nilishindwa kuelewa ni vipi ushindani utazuia usambazaji wa umeme vijijini!!! Yaani ni pumba tu. Mimi ninatoa hoja kwamba ili kuwa mbunge ni lazima uwe angalau shahada ya pili kutoka chuo mashuhuri.
ReplyDeleteMdau North Carolina
safi sana KIPANYA!ushindani kwa mtanzania hakumaanishi kuboresha ili kuvutia, bali kunamaanisha kubishana!yaani ukiuliza swali badala ya kupata jibu, nawe unaulizwa swali! hata kama jambo la kujadili mtu atalitolea jibu lililowazi basi kuna wengine wamebobea ktk nyanja ya kubisha tu!
ReplyDeletekwangu mimi sishangai, ndivyo tulivyo nahii imekuwa utamaduni wetu.
ukitaka kuhakikisha kuwa tuna mushkeli kichwani, CHUKWA WAYAHUDI AU WAZUNGU[sio kuwa nawafagilia] WALETE TZ AU AFRIKA, kisha chukua WABONGO WAHAMISHIE KWA HAO WENZETU. kisha hakikisha kuwa hakuna anayehama na kitu cha kuanzia, vyote wakavikute jinsi vilivyo, then WAPE MIAKA 50 tu,kisha kafanye evaluation ya maendeleo kwa pande zote mbili ,nadhani utacheka kwa utakayokuta waliko wabongo. maana badala ya kusonga mbele nadhani jibu unalo mwenyewe hatua zitapigwa kuelekea wapi.
na si ajabu wataanza kuomba tena misaada toka huko africa kwa wenzetu!
nacho sisitiza hapa ni kuwa TATIZO SIO geografia yetu wala historia, tatizo KUKICHWA! badala ya uchumi kuiongoza siasa, siasa inaongoza uchumi wapi na wapi? ndicho kinachotokea kwa mzee kichaka kwa sasa na matokeo mnayaona jinsi kijani kinavyo poromoka thamani kilasiku.
Ushindani unaotaiwa s ule wa kuiuzia TANESCO umeme bali wa kuwauzia wateja moja kwa moja. Ili hiyo ifanikiwa itabidi mswada huo uwaruhusu kukodi miundo mbinu ya TANESCO ili kuwafikia wateja kwa wakayti huu ambao TANESCO bado inamiliki kikamilifu biashara ya umeme. Vinginevyo iundwe kampuni itakayo meneji national Grid ambapo wauzaji na wazalishaj wa umeme watautumia kufikia miji. Mtandao wa umeme baada ya grid uwe huria ambapo hao wanaotaka kufanya biashara wajijengee. Si tulishaambiwa bwana BURE alishakufa??? Au hiyo nikwetu sisi akina kajamba nani na si kwa 'wawekezaji'??
ReplyDeleteone person went to the graveyard, he saw a written message on the tomb"WHAT YOU ARE NOW, IS WHAT I WAS! AND WHAT IAM NOW IS WHAT YOU WILL BE SOON. SO GET PREPARED TO FOLLOW ME!"
ReplyDeletehe bent down and wrote below the message" IAM NOT READY TO FOLLOW YOU, BECAUSE I DON'T KNOW WHERE YOU ARE NOW!"
i hope he got perplexed because he either believed in heaven or hell.
the same drama apply here with TANESCO,government& wavuja jasho.
think big and critically is when you can see this, other wise you will end up questioning and not see at all the connection between the two scenes.
labda viongozi wetu wakishikwa na aibu na woga kidogo,waanze kuweka maslai ya nchi mbele,maybe then there'll be hope
ReplyDeleteMh.... watu waogopa u-Richmond
ReplyDeleteKipanya nae keshakuwa fisadi? naona ana kitambi sasa
ReplyDeletesamahani bwana masupu natoka nje ya mada, naomba matokeo ya Yanga hukp libya
ReplyDeleteKp inaelekea wewe ni fisadi wa Epa kwa sababu una kitambi kama Kiongozi fulani wa awamu iliyopita
ReplyDeleteKatochi)
MDAU mmoja kauliza matokeo ya yanga
ReplyDeleteYANGA 1 ALKHADIR LIBYA 1
KP wazee wa EPA na Rich Mond wameanza kukuziba mdomo nini? Maana mwenzetu umeanza kumeza kero za wanachi(kitambi).
ReplyDelete