Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mimi ninakubaliana na KP mia kwa mia. Yaani nilivyosoma komenti za Mhe. Anna Malecela na wenziwe kuhusu ushindani katika sekta ya umeme nilishindwa kuelewa ni vipi ushindani utazuia usambazaji wa umeme vijijini!!! Yaani ni pumba tu. Mimi ninatoa hoja kwamba ili kuwa mbunge ni lazima uwe angalau shahada ya pili kutoka chuo mashuhuri.

    Mdau North Carolina

    ReplyDelete
  2. safi sana KIPANYA!ushindani kwa mtanzania hakumaanishi kuboresha ili kuvutia, bali kunamaanisha kubishana!yaani ukiuliza swali badala ya kupata jibu, nawe unaulizwa swali! hata kama jambo la kujadili mtu atalitolea jibu lililowazi basi kuna wengine wamebobea ktk nyanja ya kubisha tu!
    kwangu mimi sishangai, ndivyo tulivyo nahii imekuwa utamaduni wetu.
    ukitaka kuhakikisha kuwa tuna mushkeli kichwani, CHUKWA WAYAHUDI AU WAZUNGU[sio kuwa nawafagilia] WALETE TZ AU AFRIKA, kisha chukua WABONGO WAHAMISHIE KWA HAO WENZETU. kisha hakikisha kuwa hakuna anayehama na kitu cha kuanzia, vyote wakavikute jinsi vilivyo, then WAPE MIAKA 50 tu,kisha kafanye evaluation ya maendeleo kwa pande zote mbili ,nadhani utacheka kwa utakayokuta waliko wabongo. maana badala ya kusonga mbele nadhani jibu unalo mwenyewe hatua zitapigwa kuelekea wapi.
    na si ajabu wataanza kuomba tena misaada toka huko africa kwa wenzetu!
    nacho sisitiza hapa ni kuwa TATIZO SIO geografia yetu wala historia, tatizo KUKICHWA! badala ya uchumi kuiongoza siasa, siasa inaongoza uchumi wapi na wapi? ndicho kinachotokea kwa mzee kichaka kwa sasa na matokeo mnayaona jinsi kijani kinavyo poromoka thamani kilasiku.

    ReplyDelete
  3. Ushindani unaotaiwa s ule wa kuiuzia TANESCO umeme bali wa kuwauzia wateja moja kwa moja. Ili hiyo ifanikiwa itabidi mswada huo uwaruhusu kukodi miundo mbinu ya TANESCO ili kuwafikia wateja kwa wakayti huu ambao TANESCO bado inamiliki kikamilifu biashara ya umeme. Vinginevyo iundwe kampuni itakayo meneji national Grid ambapo wauzaji na wazalishaj wa umeme watautumia kufikia miji. Mtandao wa umeme baada ya grid uwe huria ambapo hao wanaotaka kufanya biashara wajijengee. Si tulishaambiwa bwana BURE alishakufa??? Au hiyo nikwetu sisi akina kajamba nani na si kwa 'wawekezaji'??

    ReplyDelete
  4. one person went to the graveyard, he saw a written message on the tomb"WHAT YOU ARE NOW, IS WHAT I WAS! AND WHAT IAM NOW IS WHAT YOU WILL BE SOON. SO GET PREPARED TO FOLLOW ME!"
    he bent down and wrote below the message" IAM NOT READY TO FOLLOW YOU, BECAUSE I DON'T KNOW WHERE YOU ARE NOW!"
    i hope he got perplexed because he either believed in heaven or hell.
    the same drama apply here with TANESCO,government& wavuja jasho.
    think big and critically is when you can see this, other wise you will end up questioning and not see at all the connection between the two scenes.

    ReplyDelete
  5. labda viongozi wetu wakishikwa na aibu na woga kidogo,waanze kuweka maslai ya nchi mbele,maybe then there'll be hope

    ReplyDelete
  6. Mh.... watu waogopa u-Richmond

    ReplyDelete
  7. Kipanya nae keshakuwa fisadi? naona ana kitambi sasa

    ReplyDelete
  8. samahani bwana masupu natoka nje ya mada, naomba matokeo ya Yanga hukp libya

    ReplyDelete
  9. Kp inaelekea wewe ni fisadi wa Epa kwa sababu una kitambi kama Kiongozi fulani wa awamu iliyopita

    Katochi)

    ReplyDelete
  10. MDAU mmoja kauliza matokeo ya yanga
    YANGA 1 ALKHADIR LIBYA 1

    ReplyDelete
  11. KP wazee wa EPA na Rich Mond wameanza kukuziba mdomo nini? Maana mwenzetu umeanza kumeza kero za wanachi(kitambi).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...