Home
Unlabelled
mataa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wa waaaa.. hiyo imetulia misupu. naiona richmond kwa mbali kwenye hii picha...
ReplyDeleteNi kama Losi anjelesi!!! labda hata bora,au siyo???
ReplyDeleteBwana Michu, tafwadhali kabandike hii picha pale kwenye nanihii!!
ReplyDeleteKwa kifupi hapa sio dar..tupatie picha za kwetu dar..hapa si penyewe.Na kama ni kweli nipe location ya ulipo pigia picha hii.
ReplyDeleteHii picha imepigwa kutokea kwenye jengo la UBUNGO PLAZA, ikiwa imechukua sehemu kubwa ya Ubungo power plant na sehemu ya substation ya ubungo.
ReplyDeleteMataa yako wapi bwana wewe...? hayo magari kwenye foleni ndiyo yanayotoa huo mwanga unaowazingua.
ReplyDeleteMichuzi hapo kushoto ni wapi....giza tupu. Kweli hapo bongo.
ReplyDeleteKushoto ni Chibuku, Ghala la Cement... I don't know kama bado linatumika.
ReplyDeleteProblem ni kwamba taa za barabani naishi haziwaki na hiyo ni kazi ya nani kibisa meya au miundo mbinu yaani mika nenda rudi hizo taa aziwaki na mijitu imekaa tu ofisi if i was JK....
ts soooo beautiful,lkn ile sio foleni ya magari usiku ninayoiona?
ReplyDelete