ni kweli kwamba hali ya umeme sasa tambarare bongo. hapa ni maeneo ya ubungo majira ya jioni jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. wa waaaa.. hiyo imetulia misupu. naiona richmond kwa mbali kwenye hii picha...

    ReplyDelete
  2. Ni kama Losi anjelesi!!! labda hata bora,au siyo???

    ReplyDelete
  3. Bwana Michu, tafwadhali kabandike hii picha pale kwenye nanihii!!

    ReplyDelete
  4. Kwa kifupi hapa sio dar..tupatie picha za kwetu dar..hapa si penyewe.Na kama ni kweli nipe location ya ulipo pigia picha hii.

    ReplyDelete
  5. Hii picha imepigwa kutokea kwenye jengo la UBUNGO PLAZA, ikiwa imechukua sehemu kubwa ya Ubungo power plant na sehemu ya substation ya ubungo.

    ReplyDelete
  6. Mataa yako wapi bwana wewe...? hayo magari kwenye foleni ndiyo yanayotoa huo mwanga unaowazingua.

    ReplyDelete
  7. Michuzi hapo kushoto ni wapi....giza tupu. Kweli hapo bongo.

    ReplyDelete
  8. Kushoto ni Chibuku, Ghala la Cement... I don't know kama bado linatumika.
    Problem ni kwamba taa za barabani naishi haziwaki na hiyo ni kazi ya nani kibisa meya au miundo mbinu yaani mika nenda rudi hizo taa aziwaki na mijitu imekaa tu ofisi if i was JK....

    ReplyDelete
  9. ts soooo beautiful,lkn ile sio foleni ya magari usiku ninayoiona?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...