FAMILIA YA MTONYI YA HUKO DODOMA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MARY MTONYI AU MAMA ALI (PICHANI) KILICHOTOKEA JUZI HUKO DODOMA.
MAZISHI YANATARAJIWA KUWA KESHO JUMATATU NA HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA FAMILIA YA MTONYI POPOTE WALIPO.
MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI - AMINA
Poleni sana wafiwa wote tupo pamoja na nyie katika wakati huu mgumu kwenu Mungu ametoa na Mungu ametwaa
ReplyDelete(from B)
Poleni sana wafiwa. Mungu amempenda zaidi kuliko sie tumuombee Mama Ali apimzike kwa amani.
ReplyDeleteFrom Holland
RIP MAMA ALLY TUKO NJIA MOJA.........
ReplyDeleteINNA LILLAH WAINNA ILAYHI RAAJIUN , hakina kila nafsi itaonja mauti, poleni sana wafiwa katika kipindi hiki kigumu cha msiba
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. Mungu amlaze mahali pema peopni.
ReplyDeleteMama lao
UK
TUNAKUKUMBUKA SANA MAMA ALI, MUNGU AIWEKE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI
ReplyDeleteFROM HOLLAND
MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI.. NJIA NI MOJA NASISI TUNAKUJA WEWE UMETANGULIA...
ReplyDeleteMungu amlaze marehemu mahali pema peponi...Amina
ReplyDelete