salaam aleykum shekh michuzi ...

napenda kuwatakia wanaoshabikia Liverpool FC ushindi dhidi ya Arsenal ktk UEFA Champs League Quater Final..

Pia napenda kuwasalimia Watanzania wote popote pale walipo,nawatakia kila la kheri katika mizunguko yao ya kujitafutia maendeleo..

Mdau Wardat.

United Kingdom.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 41 mpaka sasa

  1. NIMESHAKUSHITUKIA WEWE NAONA UMESHAMUONEA DONGE MANKA? VILE AMEKUA SUPER STER

    ReplyDelete
  2. Nimelikubali pose lako dada! umependeza!

    ReplyDelete
  3. UKO MITAA GANI UK? WE WARDAT, UMEPENDEZA WACHE TU WASEME WE MZURI MWAYA..........ASANTE KWA SALAM ZAKO ZIMEFIKA Mmmmmmmmmwaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  4. ¨We annon wa kwanza mshamba sana!!manka amekuwa superstar wa kutukanwa?hata masuperstar naona hamuwajui!domo lishazoea kutukana tuuu

    ReplyDelete
  5. Yaani na huo mkao ndiyo unajiona umetoka, haya bwana ukubwa wa pua yako siyo wingi wa makamasi yako.Ndiyo tunawahitaji mjitoe msiogope maneno ya waosha vinywa

    ReplyDelete
  6. BASI WATU WAMEJUA MANKA KAFANIKIWA WOTE WANATAKUWA MANKA WANAWAKE BWANA KWA WIVU SIJUI WANA MATATIZO GANI SIKU HIZI BIASHARA NJE NJE HIZI SIO SALAAMU ZA BURE HAYA BASI WEKA NA CONTACT

    ReplyDelete
  7. uk wapi??mk,reading,slough,london,manchester au wewe ni mwenyeji wa bwawa la maini maana unashabikia na bro misupu na sisi man utd Je?/nimekubali shori unalipa??umeolewa wewe??au kuna magarasa yana cheza mzungu wa nne??basi tupe contact zako!!!!!!!!!!!££££££££££££££££££££££££££££££££££££££££££££kwa bi mkubwa

    ReplyDelete
  8. DU kweli sasa anauzuir gani huyu msichana jamani sema tu mweupe sasa mke wangu atakuwa malaika maana du siwezi hata sema

    ReplyDelete
  9. nataka kuja kulipa maahali wardat wasemaje wewe??na nitunzie chungwa langu hilo!!!!!na waume weza wasimenye kama chenza plz

    ReplyDelete
  10. Mizoga mizoga talaaaaax chorus biashara zimekuwa ngumu siku hizi tuu tuuu x chorus anyway nakutakia mafanikio mema mungu atakupatia wako

    ReplyDelete
  11. Jmani acheni pua ya mwenzenu.Huyu hafukasti wa kihindi.....choliiii!!!Nehi Babu geee!!!

    ReplyDelete
  12. Wardat nimezipokea salaamz kwa moyo mkunjufu kbs... Ungetoa ka-e-mail ingekuwa raha zaidi,na hv ninampango wa kula pasaka hii UK... ingenoga sana...

    Michu nae si uwe unasisitiza contacts.....

    ReplyDelete
  13. The East Africa Debate !!

    We invite everybody that is interested to debate about the East African Federation. The question here is: Is it possible to have an East African Federation? Is the Way of Life of the peoples living in East Africa being considered? Why did the first forming of such a Federation Collapse?

    There are a lot of questions that we think are not being discussed and considered, and that is why we are challenging the people of East Africa to come and debate about this issue. We encourage people of all backgrounds, academia, political view, concerned citizens, regardless of qualification as long as you are a resident of Africa, you are welcome to become part of this.

    This is how it will be done. After we reach 26 participants that are interested in debating we will vote for a date, time, location for this event to be held at. The ideal location for this event is Tanzania – Dar es Salaam or Arusha; Kenya – Nairobi; Uganda – Kampala; Rwanda – Kigali; or Burundi – Bujumbura; perhaps DRC if we are welcome. The aim of this initiative is that it is time now for us Africans to step up and find a way of debating and deciding what is best for us and our communities.

    As you see so far, this event will involve a lot of people from different countries, including African that live abroad. Therefore, we ask for voluntary sponsorship from private institutions and governments so that this event can happen with the largest scope of participants.

    If you are interested in being participant, or are interested in contributing – we are especially looking for people to be a part of preparation committee. Via electronic communication most of the planning and preparations will be made. Please send your name and contacts (including current location) with a short bio of yourself, telling us how you are interested in participating.

    The debaters

    The form of debate will be a two group date:
    Group One: for the forming of The East African Federation
    Group Two: against the forming of the East African Federation

    To register send us your full name, short personal bio, and what side you would like to be on and date preferences for being in East Africa to attend the debate. Just your first name and your side will be displayed here: E-mail africatalk@gmail.com - lets do it.

    Positions available on this initiative/event are . . . ( These positions are volunteering)

    Event Coordinator for Americas
    Event Coordinator for Europe
    Event Coordinator for Tanzania
    Event Coordinator for Kenya
    Event Coordinator for Uganda
    Event Coordinator for DRC
    Event Coordinator for Rwanda
    Event Coordinator for Burundi
    Event Coordinator for Australia & New Zealand
    Event Coordinator for Middle East
    Event Coordinator for Antarctica

    Finally, Africa is talking! Join in or come to listen.

    What is the Debate?
    Debate or debating is a formal method of interactive and position representational argument. Debate is a broader form of argument than logical argument, since it includes persuasion which appeals to the emotional responses of an audience, and rules enabling people to discuss and decide on differences, within a framework defining how they will interact - debate is a common occurrence, but the quality and depth of a debate improves with knowledge and skill of its participants as debaters. Deliberative bodies such as parliaments, legislative assemblies, and meetings of all sorts engage in debates. The outcome of a debate may be decided by audience vote, by judges, or by some combination of the two.

    ReplyDelete
  14. Wadau ajianikae namna hii anajua fika yatakayoji.. uwanja ni wenu tukanenii weeee mpaka mtoe povu vinywani

    ReplyDelete
  15. Bibie umetoka sex, unawaka like wax
    nitazuka niko assex,sasa napiga box
    nasubiri unipe max,nipige namba six
    sikia,nikutonye,uje niita mahabuba.
    Imetulia? Ok cheers.

    ReplyDelete
  16. I live in London,Iam a model and a student

    02077085675
    Eastham London
    Wardat

    ReplyDelete
  17. sasa kwa kumbukumbu za home office wewe ni msomali au mrundi

    ReplyDelete
  18. Hi Bro Michuzi,ploe na vacation.!!!!!!!!!!!!.
    Wadau kusema kweli huyu dada ni mzuri wa haja....aminia mimi ni Beaty-judge hasiye rasmi lakini mwenye uzoefu.Hata kama kuna element ya kujitangaza lakini ukweli utabaki hapo hapo kuwa ni mzuri,kinchatakiwa ni sisi wadau wa kiume,wahitaji kupambana kimue na kwa bahati nzuri hajatoa "CV" kama ya Manka so never know we can match,Nashukuru amesikia kilio cha wengi na ametoa mpaka namba yake ya simu na adress...!!!.Mimi binafsi "Amenigusa"....!!!.Please dada naomba niku-text baadae......!!.
    Mdau,
    USA,
    MN.

    ReplyDelete
  19. wadau kama unakumbuka kuna dada alisema kina manka wako wengi sana sasa naamini maneno yake na mtoto huyo kashatoa contact kazi kwenu masingle mie yangu macho haaaaaaa!!!

    ReplyDelete
  20. uko fresh dada na umodel wako na ustudent vyote fresh
    ulichotibua hiyo kuitakia livapuli ushindi dhidi ya arsenal, aah dada mrembo kama wewe unatakiwa uwe arsenal no doubt! aah nenda zako huko na liverpool yako!

    ReplyDelete
  21. Marshalaaaaah...mtoto wardat mtoto wa kiarabu weye eeh? Naona una sura ya duara, na waislam tunasema wathalaan AL furubutuuunnnn chochote cha duara dawaaa...mtoto ridhki filmanyathi wewe eeh? Njoo basi ufanye kazi NYC mamodel wote wakalia huku atii...

    ReplyDelete
  22. Wardat mdogo wangu, salamu zako zimefika.
    Hamna baya ulilosema, usisikilize maneno ya Wabongo. Mungu amekujalia uzuri. Cha muhimu mshukuru Mungu, na usiwe na kiburi. Lakini usisikilize maneno yetu Wabongo - hao wanaokupiga madongo wana wivu tu.

    Mswahili.

    ReplyDelete
  23. Mtoto bomba na umependeza njoo huku USA achana na UK kwa wachovu hahaha wadau wa UK msianze tena mitusi ndio ukweli wenyewe.

    ReplyDelete
  24. 90% of Tanzanian not interested with East Africa Federation,we have our own problem of UNION between mainland and Zanzibar not solved,

    ReplyDelete
  25. mtoto umpendaza sana wewe wasiliana nami kupia ngarakg2002@yahoo.com nikutumie invitatio huku usa maana hapo uk watakulostisha hao wachovu wamaisha wanakaa hapo uk hata kusaidia ndungu zao bong hawezi maana maisha mangumu kama bongo tu siboro mrudi kwenu

    ReplyDelete
  26. Wa anony wa US ngarakg2002@yahoo.com, hata kutype hujui, sasa kweli wewe ni zaidi WAKEREWE???

    ReplyDelete
  27. we USA 4:38PM hebu nieleweshe maana ya 'umpendaza',kupia,invitatio,bong,mangumu,siboro then labda nitaku-email, maana sijaelewa text yako hapo.

    Asante
    Wako WARDAT

    ReplyDelete
  28. we USA 4:38PM hebu nieleweshe maana ya 'umpendaza',kupia,invitatio,bong,mangumu,siboro then labda nitaku-email, maana sijaelewa text yako hapo.

    Asante
    Wako WARDAT

    ReplyDelete
  29. Mashalaah!! mtoto si haba, umejaliwa!!!, taarabu unayo! usiende US watakulostisha huko, nitakulika hapa France (hexagonal).
    Mdau

    ReplyDelete
  30. Anawachezea akili na number yake...IoI na nyie... duh! kazi kweli kweli
    Londoner

    ReplyDelete
  31. Oyaa Wardat, kwanini unakuwa muongo msichana mrembo na unatoa Namba uliyoshindwa kulipia BT?. Inaonekana Hii picha siyo yako ni ya jirani yako ama rafiki yako.

    Huko EastHam kwa matapeli wa Kikongo ndo wamekufundisha uongo siyo?

    Poa ila mpatie salam mwenye hii picha Mungu kamjalia kweli ila uombe akusaidie uende Hospitali ukafanyiwe Picha ya kufananishwa naye kama Sadam Hussein.

    Asante

    ReplyDelete
  32. Siku nyingine, Michuzi, wawe wanatuma picha na CV. Au vipi? lol

    Anyway, dada ametulia..yaani nina-type huku nikicheki noma ya mamaa, maana'ke akiona nasifia mali nyingine, hakuna mechi kwa siku kadhaa.

    ReplyDelete
  33. Maskini Wardat..ungekuwa unaishi USA , usingekuwa hivyo , sura inaonekana imechoka ,kwa kubeba BOKSI , Mtoto mdogo unajizeesha kwa kazi ngumu , ...

    ReplyDelete
  34. Hao wote hawana lolote wardat watakupa nini,hawana muda wakukaa nawewe,wanafanya kazi masaa 24 ili waje watese huku bongo,we ukimaliza mkataba wako huko njoo nyumbani bongo utapata mapredeshee wa ukweli

    ReplyDelete
  35. MTOTO MZURI SANA!!HAKIKA NIMEZIMIA SANA NA WEWE!!HAPO JUU NAONA WATU WA USA WANAKWAMBIA UWENDE KWAO!!KWA USHAULI WANGU USIENDE UKO,,NJOO HAPA SEOUL NIKUPE RAHA KEDE WA KEDE!!!UKIPENDA WASILIANA NAMI~~ macnight78@hotmail.com,,,,
    mdau~SEOUL,,..

    ReplyDelete
  36. WEWE MDAU WA USA MBONA TOKA UMEKWENDA AMERICA HUJARUDI BONGO? AMA KARATASI ZINAGOMA? BOX NA BANGE ZINAKUSUMBUA HAKUNA CHOCHOTE, KWANZA KAMA WEWE NA WENGINE USA MNAMAISHA MAZURI KISA CHA KUKIMBILIA TOTOZ ZA UK? TAFUTA MALIMBUKENI KAMA WEWE HUKO ULIPO NA SHOMBO YENU YA BOX. UNAKURUPUKA UTADHANI KILA MTU ANABEBA BOX LOL! NDUGU ZAKO WAMEKUFA HATA KURUDI KUSALIMIA TAABU LEO UNATUAMBIA UNASAIDIA KWENU? KISA UMETOA DOLLA YA DOUBLE NA KU BAUNSISHA CHECK YA RENT SASA UNAFIKIRI WEWE NI MJANJA!

    ReplyDelete
  37. nyiye wachovu wa europe manadai hamujaelewa kwanini manataka kuelewa ujumbe usio wahausu hiyo comment kawekewa huyo demu halafu nyinyi mashanga wa uerope mnataka kuelewa na kasema anataka mashaga.

    ReplyDelete
  38. hivi mie nashindwa kabisaa kufaham kati ya USA na UK ni wapi hasa kuna life ya kumfanya mtu aweze kurekebisha life chap chap na maisha bora kabisa...???
    bila kuangalia majengo marefu au wapi kuna madhari nzuri ya kumpendeza mtu machoni..??

    ReplyDelete
  39. HAKUNA USA WARA UK,UKO POTE ZILIPENDWA!!YANI NI STORY TU!!KAMA KWELI UNATAKA KUTENGENEZA LIFE YAKO JOO UKU ASIA,I MEAN JAPAN,SOUTH KOREA,ASWA SOUTH KOREA KWANI HAWA JAMAA BADO USINGIZI SANA,NA WAGENI BADO AWAJAALIBU SANA KAMA UKO MRIPO!!!

    ReplyDelete
  40. Wardat tuwasiliane mbalamoon@yahoo.com . Ni mimi Moon kutoka UK!

    ReplyDelete
  41. mtoto mkali sana,achana na hao wote wanaokuponda wivu tu,rudi bongo huku utatukuta mapedeshee kama sisi,utakula maisha kama mtoni tu.bongo shwri hasa kwa wenye nazo kama sisi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...