

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
YAANI MLIVYO PENDEZA HAMMEREMETI ILA MNAWAK
ReplyDeleteBest Man anafanya Tigo wakati mpambe wa bibi harusi anafanya Zantel,
ReplyDeletePatamu hapo
mola awazidishie upendo mara dufu mpendeza mno,hongereni
ReplyDeleteMbona kama wanafanana vile? Hawa wakikaa pamoja baada ya miaka kama kumi hivi ndo watakuwa Identical Twins kabisaa!!!
ReplyDeletekwakweli mmependeza! Ila hapo ninani zaidi? CELTEL au VODACOM kwa kibiashara tukisema nani zaidi kwenye picha nafkiri ni VODACOM kwasababu yeye ndio kamuoa CELTEL! haaaaa haaaaa haaaa! imetulia, hongereni mmependeza mno mno! Nawatakia maisha mema yenye furaha tele mpate watoto wengi wazuri wakike kwa wakiume kadiri ya uwezo wenu mtakaojaliwa na mwenyezi mungu! karibuni kwenye chama chetu mpambane hili GAME LANDOA.
ReplyDelete..Uswege Mwambene,du!! long time my man!! yaani tokea 1987, Oysterbay primary enzi hizo!! Man you look superb. Hongera sana!Tutafutane kaka for old time's sake, your old class mate - kwame
ReplyDeleteMmependeza sasa nyie wenzetu hao waume mnawapataje mbona sielewi kama kutulia mimi nimetulia kama kusoma nimesoma na kazi nzuri ninayo halafu mzuri pia du kweli hii sasa au ndio kujuana maana nimesikia watu wanasema siku hizi kutupiana mzigo tu.si bure mwenzetu manka alihamua kutoa tangazo ebu hatupe majibu kama inalipa na sisi tuendeleze libeneke hapa
ReplyDeleteLoh ingepndeza sana kama bwana harusi angekuwa anafanya TIGO!
ReplyDeleteJamani, mmependeza sana wapendwa, Mungu na ailinde ndoa yenu milele.
ReplyDeleteMwenzenu nikiona watu wamefunga ndoa nami natamani kama nini! Sijui lini nami Mungu atanijaalia, niombeeni wana-blog, ila matusi na kejeli SITAKI.
Hongereni jamani Mmependeza...
ReplyDeleteMaharusi Mmependeza ile mbaya. Mungu awajalie watoto wa kiume na wa kike. Hakikisheni kila siku inakuwa ni honeymoon kwenu. May almight GOD keep YOU safe by night and day. Amen.@Naishiye
ReplyDeletemungu awabariki na ndoa yenu imeremete kama mlivyomeremeta wenyewe.
ReplyDeleteduuh,mzee wa swap ulipendeza sana.nawatakia kila la kheri ktk maisha yenu ya ndoa.
ReplyDeletemuzee ya sumbawanga na mkali wa requested....kama kawa wapi Que Li Peng wa Buguruni...hahahaaaaaa...mko gado watu wa bamba 50..
ReplyDeleteMMEPENDEZA SANA MUNGU AWAZIDISHIE BARAKA KWENYE NDOA YENU MPENDANE KAMA MICHUZI NA MNYALUKORO WA FRANKFURT ONA ANAMFUATA TENA KANOGEWA.. TUNASUBIRI NDOA YA MANK NA KAKA CHIBIRITI.
ReplyDeleteMANKA AJAPATA MCHUMBA LAKINI AMEENDA SEND OFF YAKE TAYARI AMENIAMBIA JANA
ReplyDeleteMANKA'S WORK MATE
hivi wanaume wanapakaga make up siku hizi?naona huyu kaka ana make up ilofanana na mke wake. wamependeza though.
ReplyDeleteHiyo siyo make up, ni "touch up" ya picha kwenye computer, na hivyo kuondoa alama zozote zisizo takiwa . Picha za stars wa Hollywood ndivyo wanavyofanya.
ReplyDeleteasante kunijulisha, maana nilistuka wanaume wanaanza kupakwa poda
ReplyDeletehongera kwa maharusi,pole kwa akina dada wanaolalamika hawaoni wachumba.kila mtu na zali lake,vumilieni kidogo ipo siku.waoaji wachache ukijichanganya wajanja watakuchezea na kukutema afu inakuwa noma mwenye siku akitokea anakuta doh!watu washaharibu mazingira.
ReplyDeletemmependeza sana, hongereni na mtunzane katika maisha yenu ya ndoa mungu awabariki.
ReplyDeleteHivi Bongo hakuna GYM?
ReplyDeletemaana naona kila mtu amevimba utafikir nini sijui
sasa mshaona fanyeni mwende gym,acheni kula nyama za kuchoma, tumieni Olive oil,achaneni na ma bia jaribuni kula vyakula organic na ikishindikana basi niambieni naweza kukupeni dawa za kupunguza unenene
Nilipo angalia picha moja hapo juu ambayo inamuhusisha mzee wa magari, pembeni yake alikuwepo nadhani mwanamuziki wa akudo. Basi nikamfananisha huyo jamaa na Elly, then nikawa nasema damn kuna mshikaji mmoja nilikuwa nae huko Tanga anafanana sana huyu bingwa.
ReplyDeleteKushuka chini naona picha ya Elly na my wife. What a coinsidance. Elly hongera sana, nakumbuka vituko vyako pale Tanga. Umenenepa sana mzee.
Tuwasiliane, mimi nilikuwa bingwa wako kutoka pale Popatlal
sygonlove@yahoo.com
hongera mzee kwa kuwoa. Halafu mkorogo nishai mzee mzima. Nawatakia kila la heri mungu awape WATOTO SITA WAKIKE. AMINA.
ReplyDeleteBwana Harusi VODA COM
ReplyDeleteBibi Harusi CELTEL
Patron - TIGO
Matron - ZANTEL
MC alikuwa TTCL
mwana ndio wewe elly wa usagara tanga au ?
ReplyDeletemzee wa top layer (TL) ? na lost corner?
nipe email yako tuwasiliane
hata hivyo mmpendeza sana
/Big up
mdau UK