mdau Elly Mwambene akipozi na mai waifu wake Hilda G. Ngaja bada ya kufunga fundo la maisha ya pamoja kanisa la Msasani Lutheran Church hivi karibuni na baadaye kuelekea kwenye bonge la sherehe ukumbi wa Msimbazi center. hazbendi ni mwajiriwa wa vodacom wakati mai waifu wake ni mpinzani wake wa jadi kwani ni mwajiriwa wa Celtel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. YAANI MLIVYO PENDEZA HAMMEREMETI ILA MNAWAK

    ReplyDelete
  2. Best Man anafanya Tigo wakati mpambe wa bibi harusi anafanya Zantel,

    Patamu hapo

    ReplyDelete
  3. mola awazidishie upendo mara dufu mpendeza mno,hongereni

    ReplyDelete
  4. Mbona kama wanafanana vile? Hawa wakikaa pamoja baada ya miaka kama kumi hivi ndo watakuwa Identical Twins kabisaa!!!

    ReplyDelete
  5. kwakweli mmependeza! Ila hapo ninani zaidi? CELTEL au VODACOM kwa kibiashara tukisema nani zaidi kwenye picha nafkiri ni VODACOM kwasababu yeye ndio kamuoa CELTEL! haaaaa haaaaa haaaa! imetulia, hongereni mmependeza mno mno! Nawatakia maisha mema yenye furaha tele mpate watoto wengi wazuri wakike kwa wakiume kadiri ya uwezo wenu mtakaojaliwa na mwenyezi mungu! karibuni kwenye chama chetu mpambane hili GAME LANDOA.

    ReplyDelete
  6. ..Uswege Mwambene,du!! long time my man!! yaani tokea 1987, Oysterbay primary enzi hizo!! Man you look superb. Hongera sana!Tutafutane kaka for old time's sake, your old class mate - kwame

    ReplyDelete
  7. Mmependeza sasa nyie wenzetu hao waume mnawapataje mbona sielewi kama kutulia mimi nimetulia kama kusoma nimesoma na kazi nzuri ninayo halafu mzuri pia du kweli hii sasa au ndio kujuana maana nimesikia watu wanasema siku hizi kutupiana mzigo tu.si bure mwenzetu manka alihamua kutoa tangazo ebu hatupe majibu kama inalipa na sisi tuendeleze libeneke hapa

    ReplyDelete
  8. Loh ingepndeza sana kama bwana harusi angekuwa anafanya TIGO!

    ReplyDelete
  9. Jamani, mmependeza sana wapendwa, Mungu na ailinde ndoa yenu milele.

    Mwenzenu nikiona watu wamefunga ndoa nami natamani kama nini! Sijui lini nami Mungu atanijaalia, niombeeni wana-blog, ila matusi na kejeli SITAKI.

    ReplyDelete
  10. Hongereni jamani Mmependeza...

    ReplyDelete
  11. Maharusi Mmependeza ile mbaya. Mungu awajalie watoto wa kiume na wa kike. Hakikisheni kila siku inakuwa ni honeymoon kwenu. May almight GOD keep YOU safe by night and day. Amen.@Naishiye

    ReplyDelete
  12. mungu awabariki na ndoa yenu imeremete kama mlivyomeremeta wenyewe.

    ReplyDelete
  13. duuh,mzee wa swap ulipendeza sana.nawatakia kila la kheri ktk maisha yenu ya ndoa.

    ReplyDelete
  14. muzee ya sumbawanga na mkali wa requested....kama kawa wapi Que Li Peng wa Buguruni...hahahaaaaaa...mko gado watu wa bamba 50..

    ReplyDelete
  15. MMEPENDEZA SANA MUNGU AWAZIDISHIE BARAKA KWENYE NDOA YENU MPENDANE KAMA MICHUZI NA MNYALUKORO WA FRANKFURT ONA ANAMFUATA TENA KANOGEWA.. TUNASUBIRI NDOA YA MANK NA KAKA CHIBIRITI.

    ReplyDelete
  16. MANKA AJAPATA MCHUMBA LAKINI AMEENDA SEND OFF YAKE TAYARI AMENIAMBIA JANA
    MANKA'S WORK MATE

    ReplyDelete
  17. hivi wanaume wanapakaga make up siku hizi?naona huyu kaka ana make up ilofanana na mke wake. wamependeza though.

    ReplyDelete
  18. Hiyo siyo make up, ni "touch up" ya picha kwenye computer, na hivyo kuondoa alama zozote zisizo takiwa . Picha za stars wa Hollywood ndivyo wanavyofanya.

    ReplyDelete
  19. asante kunijulisha, maana nilistuka wanaume wanaanza kupakwa poda

    ReplyDelete
  20. hongera kwa maharusi,pole kwa akina dada wanaolalamika hawaoni wachumba.kila mtu na zali lake,vumilieni kidogo ipo siku.waoaji wachache ukijichanganya wajanja watakuchezea na kukutema afu inakuwa noma mwenye siku akitokea anakuta doh!watu washaharibu mazingira.

    ReplyDelete
  21. mmependeza sana, hongereni na mtunzane katika maisha yenu ya ndoa mungu awabariki.

    ReplyDelete
  22. Hivi Bongo hakuna GYM?

    maana naona kila mtu amevimba utafikir nini sijui

    sasa mshaona fanyeni mwende gym,acheni kula nyama za kuchoma, tumieni Olive oil,achaneni na ma bia jaribuni kula vyakula organic na ikishindikana basi niambieni naweza kukupeni dawa za kupunguza unenene

    ReplyDelete
  23. Nilipo angalia picha moja hapo juu ambayo inamuhusisha mzee wa magari, pembeni yake alikuwepo nadhani mwanamuziki wa akudo. Basi nikamfananisha huyo jamaa na Elly, then nikawa nasema damn kuna mshikaji mmoja nilikuwa nae huko Tanga anafanana sana huyu bingwa.

    Kushuka chini naona picha ya Elly na my wife. What a coinsidance. Elly hongera sana, nakumbuka vituko vyako pale Tanga. Umenenepa sana mzee.
    Tuwasiliane, mimi nilikuwa bingwa wako kutoka pale Popatlal
    sygonlove@yahoo.com

    ReplyDelete
  24. hongera mzee kwa kuwoa. Halafu mkorogo nishai mzee mzima. Nawatakia kila la heri mungu awape WATOTO SITA WAKIKE. AMINA.

    ReplyDelete
  25. Bwana Harusi VODA COM
    Bibi Harusi CELTEL
    Patron - TIGO
    Matron - ZANTEL

    MC alikuwa TTCL

    ReplyDelete
  26. mwana ndio wewe elly wa usagara tanga au ?
    mzee wa top layer (TL) ? na lost corner?
    nipe email yako tuwasiliane
    hata hivyo mmpendeza sana

    /Big up

    mdau UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...