mwanamuziki 50 Cents anatarajiwa kutua bongo kufanya onesho mapema mwezi ujao. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari katika kambi ya 50 cents ni kwamba tayari kampuni moja kubwa imekubali kudhamini ujio huo ambao utakuwa mkubwa kuliko wowote uliopata kutokea kwa miaka mingi. ziara hii ya 50 Cents barani humu nusura ife baada ya kutokea bifu kati walinzi wake na repa idriss abdulkareem wa nigeria wakati wa shoo yake nchini humo. huyu jamaa alikataa kuondoka kwenye kiti cha ndege alichowekewa 50 cents, mabaunsa wakampa kibano. trip ikafa. sasa 50 cents anatua bongo wiki ya kwanza ya mwezi ujao na kukamua siku mbili badae

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Na hamu ya kujua mtawakamua vipi wabongo na kiingilio hata kama jamaa keshaenda chini kiana maana najua hapo bongo mh! nilimuona 50 Roterdam 2006 kwa kiingilio fair tu ila kama wazee KC and JOJO was 80,000 mtawabana wengi kuona onesho kwa viingilio ni mtizamo tu
    Londoner

    ReplyDelete
  2. ebwaanaa ehhh wazazi na wadau nawashauri plasma zenu na home cinema bongo mzinfungie chumbani au pelekeni bank kabisa ziwe salaama maana watoto wote wenye umri chini ya 20 wataziuzwa ili wapate kiingilio msiseme sijawatahadhari hahhaha

    William uk

    ReplyDelete
  3. Bwana Michu,
    Huyu jamaa anajiita 50 Cent, sio 50 cents kama ulivyoiweka wewe. And to make it worse anaitamka Fity na sio fifty. Kwa hiyo anajiita Fity Cent. I doubt anybody cares anyway!

    Mdau - Boston, US

    ReplyDelete
  4. Kunradhi, mi simkatai jamaa mkali ila Ujio wake si MKUBWA KULIKO YOTE, mpaka sasa mi nahesabu UJIO WA SHAWN CARTER aka JAY-Z Jigga, The Man, Hove, HOVA, H.O.V.A, the KID, Iceberg NDIO MKUU KULIKO WOWOTE, labda ile ya enzi za M.Jackson km mtaihesabu. 50 Hamfikii Jigga kwa lolote, Kwa mistari, kwa kazi, kwa Chapaa na hata Kwa Demu Mkali!!
    Long live 50, Karibu Sana Lazima Niwepo, Njoo uwakilishe kwa sisi maPIM'

    ReplyDelete
  5. Huyo naye fala tu, hana mpya wala nini? mtu gani anaulizwa kwa nini anadhani hamuungi mkono Obana kugombea kiti cha Urais anasema eti akiwa Obama raisi atauawa! hilo ndo jibu kweli au mibange? halafu najidai ain't no scared of nothing! shit dog u ain't no good lad! vijana bongo wanahitaji entetainment kutoka kwa watu wenye busara who can show mfano mzuri siyo huyo kasumuni who potrays women kama vyombo vya starehe! shauri miuji wa mtangaze tu ujue akianza matusi na mkeo yumo! achilia mbali mama zetu na dada cause i know u care more bout ur wife! ya, ain't u.
    Antway u good lad Miuji!

    ReplyDelete
  6. wabongo kwa starehe.. hiyo picha liyoweka michuzi. 50 hajavaa shati na ukipiga mahesabu mnajenga kitega uchumi kwa bling alizovaa tu...sasa mnaacha kuwaza ya maana mnakalia kutumai tu Nyie haya.!

    ReplyDelete
  7. HAYA SIYE YETU MACHO TUNAANGALIA WENYEWE MNAVYOBISHANA SIJUI FIFTY NINI SIJUI FITY SIJUI HOVA SIJUI TOBAAA! MKIULIZWA MNAJUA MWINAMILA? ALIKUWA NANI? ALIIMBA NINI? HAKUNA ATAKAYEJIBU MAANA KUTWA MUMO KWENYE YA WATU YENU HAMNA MOJA. WAKO WATU HUMU HATA WAKISIKIA NGURUMO HAWAMJUI SEUZE MARIJANI RAJABU AU HEMEDI MANETI. MTAKALIA HIVYO2 KUSHANGILIA VYA WATU!

    ReplyDelete
  8. halafu wabongo tuache krushana bifu la 50 na Addukareem wa naija lilitoka long time 50 alipokuwa naija sasa hii ya sasa hivi tunayodai kuwa nusura safari ife kwa sababu ya hilo bifu inakuwa vipi???

    ReplyDelete
  9. NEW YORK (Reuters) - Hip hop mogul 50 Cent, Universal Music Group and several of its record labels were sued on Wednesday for promoting a "gangsta lifestyle" by a 14-year-old boy who says friends of the rapper assaulted him.The lawsuit filed by James Rosemond and his mother, Cynthia Reed, says Universal Music Group -- owned by Vivendi SA -- and its labels Interscope Records, G-Unit Records and Shady Records, bear responsibility for the assault because they encourage artists to pursue violent, criminal lifestyles.The lawsuit also names 50 Cent -- whose real name is Curtis Jackson -- Violator Management, Violator CEO Chris Lighty, Tony Yayo, a rapper and a member of 50 Cent's G-Unit hip hop group, and Lowell Fletcher, an employee of Yayo.All defendants declined to comment.Rosemond says he was assaulted on a Manhattan sidewalk in March 2007 by four men including Yayo and Fletcher.The lawsuit claims Rosemond was targeted because he was wearing a T-shirt by Czar Entertainment, a management company that represents The Game. The Game is a former G-Unit rapper who fell out with the group and had become a rival rapper.In February, Yayo, whose real name is Marvin Bernard, pleaded guilty to harassment and was sentenced to ten days of community service. Fletcher pleaded guilty to endangering the welfare of a child and was sentenced to 9 months in jail."The members of G-Unit, including defendants Yayo and 50 Cent, encouraged, sanctioned, approved and condoned its members threatening violence, and or engaging in violent acts in furtherance of its business," the lawsuit said.The attack on Rosemond was intended to "promote and maintain Yayo and 50 Cent's 'gangsta' image," which was "promoted, marketed and advertised" by record labels.

    ReplyDelete
  10. wabongo tuache kuletewa mabaki ya shoo kwa bei nafuu kwa waandaaji,hiyo ziara ni ya g-unit nzima itakua south africa,ila km kuwaidea wabongo wamedandia na kumleta bongo,ila shwanga tu wacha watu wale shangwe kwani kitu gani

    ReplyDelete
  11. Mimi naona bora manigga wanavyoenda bongo kibao itapunguza watu kuomba viza bila vigezo sasa watajisikia wao nao wako mtoni kwa habari zaidi za hiyo stori, burudika hapa chini..
    50 Cent had already gone international with his thuggery when he became embroiled in a back and forth bottle-throwing incident last summer in Britain. Sadly, the G-Unit rapper’s crew has now given the motherland a taste of their street mentality.
    According to reports, 50’s boys got into it with the entourage of Nigerian rapper Idris [also referred to as Eedris] Abdulkareem Saturday night at a Lagos, Nigeria airport. The incident started on an airplane set to take both rappers to the Star Mega Jam concert, which was to feature them as scheduled performers.
    While 50 was still in his car on the Murtala Muhammad Airport tarmac waiting to board the plane, Abdulkareem tried to sit in a seat reserved for 50, but was prevented from doing so.
    "Idris Abdulkareem had his own seat, but deliberately went to the seats reserved for 50 Cent and his crew, G-Unit," a witness who worked with one of the tour organizers told AFP. "50 Cent's security asked him to move but he did not. Idris continued to abuse them, then 50 Cent's security hurt him."
    50 looked on from behind the tinted windows of his car as the melee spilled from the plane onto the tarmac, reports Agence France-Presse (AFP). Because of the fracas, 50 decided to pull out of the Star Mega Jam performance and a related tour and fly back to the U.S.
    Tour promoters Nigeria Breweries confirmed to AFP that the last two dates of the tour had been cancelled, and asked fans to contact them for refunds.
    50 had already played successful concerts in Lagos and Abuja without incident, but, sources told AFP that his entourage had previous backstage run-ins with Abdulkareem. According to AllHipHop.com, 50 was booked to perform by popular demand from Nigerian rap fans.

    ReplyDelete
  12. Acheni kuwababaikia hawa watu ambao hawana "Esteem". Nilipokuwa mdogo miaka mitano mpaka kumi na mbili, nilikuwa napenda sana kubandika picha za maniga-yaani wamarekani weusi ukutani, lakini baada ya kuja huku Marekani na kuwajua na kuwaona hawa ndugu zetu weusi, aisee nawadharau kama uchafu. Jaribu kusikiliza muziki anaoimba fifty 50, halafu linganisha na anaoimba mwanamuziki kama Werrason, Youssou N'dour au Magic System...huyu jamaa na marappers wenzake wa kileo sijajua mpaka leo wanaimba nini, matairi ya magari, Engine za Magari au utumbo gani kwenye jamii. Mbona hamwaleti hao wanamuziki wenye akili kama Werrason? Watanzania mbona Marekani inawapotosha namna hii? Msiige kila kitu jamani!

    ReplyDelete
  13. JAMAA ANA SURA YA KIRUGULU HUYU ACHA KABISA KILA NIKIONA SURA YAKE NAKUMBUKA WALUGURU WA NG'UNGURU,LUALE NA TCHENZEMA MWEEE..SASA WALUGURU WOTE MSIKOSE SHOW MKAMWONE MWENZENU AMBAYE KWA BAHATI MBAYA AU NZURI ALIANGUKIA UPANDE WA PILI.

    ReplyDelete
  14. non wa Tarehe April 10, 2008 6:13 AM
    Umemsahau Le Profesor Papa Cherry, sultan De Brunei Jeen Bedel Tshituka Mpiana.
    Pope Upooo? hahaha
    Mdau B.M
    Bruxells

    ReplyDelete
  15. FIFTY CENT = 50 CENT NI KIINGEREZA KILICHOTULIA KABISA UKIACHA KILE MLICHOSOMA DARASANI. 50 CENT UNAIONGELEA KAMA SARAFU MOJA (SINGLE).

    MATAMSHI "FITY" BADALA YA "FIFTY" WAPI NA WAPI?
    ANAJIITA "FITY" NI SAHIHI KABISA! CHA KUTAMKA NA KUANDIKA HAKIFANANI KABISA.

    HUJASIKIA ISHIRINI INAVYOTAMKWA "TWENI" WAKATI UNGETARAJIA ITAMKWE "TWENTI"?

    SOMA "PHONOLOGY" NA 'PHONETICS' UTAJUA KWANINI KUNA MANIFESTATION HIZO KWENYE MATAMSHI.

    Example:
    "In Paris" is supposed to be heard as "imparis",

    upo??

    ReplyDelete
  16. Habari kaka michuzi,
    minadhani cio ishu watu kuongea ongea tu maneno kama watuwameamua kumleta huyu mtu let it be bwana na tuacheni majungu bwana wangapi wamekuja bwana kutoka mamtoni na mbona ss wanamziki wetu wakibongo ndio madili kwao kupata chance za kwenda mamtoni unajua tusipende kupondana ka uyo mtu anayesema sijui sura kwani sura kitu gani wangapi tupo nao hapa bongo wanasura za hajabu ishu ss atuentatein tu nasio maswala mengine.
    Mdau,
    Miriam,Mwanza.

    ReplyDelete
  17. hiyo imetulia sana mzee mzima yani hapa bongo mboan itakuwa ulaya

    ebu cheki na huku

    http://fotobaraza.ning.com/

    ReplyDelete
  18. ahaha we mdau unayesema ujio wa jay z upo juu nani kasema?jaribu kufikiria lika mtu ana mtazamo wake sio unaongea tu kufurahisha nafsi yako,sasa kwa taarifa yako 50 cent anafagiliwa na wengi hata kama wewe hutaki,na huyo anayesema washkaji wanachoimba hakijulikani labda lugha mgogoro ahahah (eti wanaimba magari,maichini ahahah kweli we ngoma yako ndogo),alafu we kijana unayesema sisi tumendandia safari yake unatoka nchi gani? maana sio unaongea tu na kutaka kuidharirisha nchi yetu kwa kutokuwa na uwezo kiasi icho (kuwa mzalando na nchi yako au labda kwa kuwa upo ugenini ahahah huo ujinga)
    wewe said sisi hatupo hapa kuangalia 50 cent kavaa nini ..tunachotaka burudani basi..na usiseme mnajenga sema tunajenga,apo ulipo we mwenyewe huna lolote ivo visent ulivokuwa navo ni va kununulia dagaa,acha kujifanya upo juu wakati wote kajamba nani na wenye nazo wametulia tu,funga domo ilo,
    by mtz halisi(ngwega)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...