JK akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya watu wa China Mhe. Hu Jin Tao juu ya jukwaa wakati nyimbo za mataifa hayo mawili zikipigwa na Bendi ya jeshiya Jamhuri ya watu waChina kuashiria makaribisho ya ki-Taifa wakati alipowasili katikamji waSanya ambako atahudhuria mkutano wa BOAO. Chini akikagua gwaride la heshima na mwenyeji wake


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mzee wa safari, mkuu nakukubali! muda utaweka rekodi ya kuwa president aliyesafiri zaidi dunini, then unaingia giness book halafu.........!

    ReplyDelete
  2. Mwacheni kiongozi wetu afanye kazi yake.Kama ni kutembea huyu kiongozi alishatembea sana huko nje,anonymous 1 ndo wale rafiki zangu wanaopenda kusahau.Huyu kiongozi si alikuwa waziri wa mambo ya nje kwa muda mrefu.Kama ni kwenda huko mamtoni alishaenda sana.Lakini mlikuwa hamchongi!!
    By Staff,State House Tanzania-NOT MICHUZI.

    ReplyDelete
  3. safari ya waziri haina gharama kulinganisha na ya Rais mzee wa state upo hapo,vipi state umeingia kwa kusoma? au last name.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...