Home
Unlabelled
LAMU TOKA LONDON MARATHON
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hini hii Marathon ilikuwa lini? Naona kwenye picha inaonesha tarehe 28 mwezi wa pili. Mie nilifikiria imefanyika hivi karibuni. Au huyu jamaa ni msanii wa picha?
ReplyDeleteinategemea kama aja set date ya camera ndio inakupa tarehe hiyo iliyoko kwenye camera lakini ni leo imefanyika hapa london
ReplyDeleteJAMANI KAMERA NYINGI ZA DIGITAL HUWA ZINAKUULIZA/KUOMBA KUSET TAREHE NA MUDA UNAPOBADILI BETRI HASA KAMA ULIKUWA UNACHAJI, SASA WATU WENGINE HUWA WANASAHAU KUSETI NA SIO KWAMBA NI WASANII WA PICHA. MSI JAJI WATU AS IF HAMJUI JINSI HIVI VYOMBO VINAVYOFANYA KAZI..........
ReplyDeleteHII PICHA NI YA LEO BUT NILISAHAU KUBADILISHA TAREHE WAKATI NILKIPOKUA NIMEBADILIOSHA BETRI. USANII WA NAMANA HIYO SIWEZI. THANKS ALL.SALEH
ReplyDeleteHongera kaka kwa kukimbia London marathon na kumaliza. Salamu zako zimefika kwetu Msasani!
ReplyDeleteaisee michuzi naomba utoe hii picha jamaa hana nia nzuri anataka kutuua macho tu mi kichwa kinazunguka sasa hivi picha ina chengachenga kibao
ReplyDeletecamera haikuwa na motion control
naona unawakilisha msasani gongoni, msasani village, msikiti 36 tumeshaona hongera.
ReplyDeleteRudi bwana Timu yetu ya Beach Boyz inakusubiri. hiyo pic kali ukitizama vizuri nyuma unamuona mmasai naye anakula mbuga za mbio.
ReplyDeleteWewe msanii acha zako mimi nilikuwa kwenye marathon kuwashangilia kina Isaya mbona sikukuona tena unajitia ulikuwa mbele yao yaani huu ni uongo mtupu...kaka Michuzi huyu anatuzingua tuu na kujitafutia kaujiko , kwanza mtu mwenyewe unaonekana hali yako kama yangu hapa hauko fit unafikiri maili 26 mchezo? mimi nilikuwa nasubiri kwenye maili 17 watu walikuwa hoooi wote, mpaka kina Isaya na ngao zao wewe sikukuona kwanza mana nilikuwa naangalia watu wote wenye costume ya bendera za africa !! acha longolongo zako na ukae pembeni , wewe bwana inaelekea ulikuwa pembeni ya uzio kumuona isaya na lengai and Co. wanakuja ukaingia barabarani kupiga hako kapicha kako kwanza wakimbiaji woote walikuwa hawacheki kwa uchovu wewe kwanini umekenua meno ?? hii picha ina walakini na mimi siiafiki credibility yake !! wee umefanan na Maalim Seif ni kaka yako nini ?
ReplyDelete