Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michuzi unaingia gharama za bure kufuatilia madafu yetu.Uchumi utakomaa vipi wakati mafisadi wanaongezeka kila kukicha,bahadhi ya watu wanachota fedha tu wanapeleka Ulaya.Yale mashamba ya vijiji tuliyoyakuta wakati tunakua yalishakufa.Hatulimi tena mazao ya kuuza nje,kahawa pamba n.k vilishakufa bei.Viwanda vyetu viko hoi,miundo mbinu ndo kwanza tunatoka usingizini.Unategemea nini bwana michuzi.CCM OYEEEEEE.

    ReplyDelete
  2. ...wasi wasi wangu hapa tusije tukawapiku wazimbabwe!

    ReplyDelete
  3. Michuzi mbona hakuna norsk kroner hapo bwana!!tuwekee na za norway bwana..kyekuu

    ReplyDelete
  4. we kyekuu ,ina maana hujaona norwegian kroener hapo au ndo mambo ya kudandia gari kwa mbele.

    ReplyDelete
  5. Michuzi,me nakufagilia unavotupa hizo info za exchange rates zinatusaidia sana kufanya mahesabu kabla ya kuamua tununue currency ipi wakati wa kurudi bongo.
    me naomba uendelee kutupa hizi hata daily kama ukiweza vinginevyo hata kwa wiki mara moja sio mbaya.please misupu.

    ReplyDelete
  6. SHUKRAN KAKA MICHUZI,HIZI ZINAONEKA UZURI SANA MAANDISHI YAKE NA MAKUBWA AHSANTE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...