Home
Unlabelled
madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi unaingia gharama za bure kufuatilia madafu yetu.Uchumi utakomaa vipi wakati mafisadi wanaongezeka kila kukicha,bahadhi ya watu wanachota fedha tu wanapeleka Ulaya.Yale mashamba ya vijiji tuliyoyakuta wakati tunakua yalishakufa.Hatulimi tena mazao ya kuuza nje,kahawa pamba n.k vilishakufa bei.Viwanda vyetu viko hoi,miundo mbinu ndo kwanza tunatoka usingizini.Unategemea nini bwana michuzi.CCM OYEEEEEE.
ReplyDelete...wasi wasi wangu hapa tusije tukawapiku wazimbabwe!
ReplyDeleteMichuzi mbona hakuna norsk kroner hapo bwana!!tuwekee na za norway bwana..kyekuu
ReplyDeletewe kyekuu ,ina maana hujaona norwegian kroener hapo au ndo mambo ya kudandia gari kwa mbele.
ReplyDeleteMichuzi,me nakufagilia unavotupa hizo info za exchange rates zinatusaidia sana kufanya mahesabu kabla ya kuamua tununue currency ipi wakati wa kurudi bongo.
ReplyDeleteme naomba uendelee kutupa hizi hata daily kama ukiweza vinginevyo hata kwa wiki mara moja sio mbaya.please misupu.
SHUKRAN KAKA MICHUZI,HIZI ZINAONEKA UZURI SANA MAANDISHI YAKE NA MAKUBWA AHSANTE
ReplyDelete