huyu si mwingine ila ni robert, bosi wa MilaVision, kampuni inayoongoza kwa kupiga picha za video za shughuli mbalimbali kama harusi, kipaimara, ubatizo na kadhalika kwa kutumia vifaa vya kisasa kabisa. anapatikana mtaa wa mkwepu si mbali sana na club billicanas (zamani mbowe) ila tatizo usipofanya booking mapema umeliwa. namba yake ni +255 754 306 323

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duh Long time jamaa nilisoma naye Kinondoni huyu enzi za Hoya Sharifu na JAnuwala.
    Kwa wanaokumbuka matangazo ya White Dent huyu ndio yule jamaa!

    ReplyDelete
  2. Is this my old buddy back in the days at Haramain Sec School?

    ReplyDelete
  3. Omar Rashid, mtoto wa mwalim Omar, Upanga primary school, Abdallah na Ali wapo wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...