Home
Unlabelled
pinda bungeni leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hey Michuzi siku hizi wabunge wanaenda bungeni na ukoo wao mzima au nini.Maana mpaka wajukuu wako Bungeni......!!
ReplyDeleteIkiwa kama kila mtu ataanza kubeba watoto na wajukuu kwenda nao kazini itakuwa safi sana, hiyo inaonyesha mshikamono a familia. hata Waziri mkuu mwenyewe kakubali! ila kazi sasa zitafanyika kweli haya! hao ndo viongozi wetu.
ReplyDeleteHivi Mkapa alimuachia ubunge braza wake au majina tu...?
ReplyDeleteHuyo Dustan Mkapa ni mtoto wa kaka yake BWM. Washangaa nini, kwani hujui mambo mengine yabidi murithishane kiukoo?? Karume1 kwenda kwa Karume2, Mwinyi1 kwenda kwa Mwinyi2, Kawawa 1 kwenda kwa Kawawa2 etc. Kalagabahooooo!!!
ReplyDeleteBADO SIKU MOJA TU, KESHOKUTWA MNADANI....INABIDI MNADA MPYA UBORESHWE MAMBO YAWE KAMA ZAMANI MAILIMBILI, WANANCHI KARIBUNI KWENYE MINYAMAMINYAMA.
ReplyDeleteSASA HAWA WATOTO HAWASOMI JAMANI?BUNGENI KUFANYA NINI?AU FASHION SHOW YA WATOTO..JAMANI TUWENI WASTAARABU KIDOGO,,SASA KILA MBUNGE ALISEMA AJE NA WATOTO NA WAJUKUU ITAKUWAJE?SI ITAKUWA PARTY KABISA..KYEKUE
ReplyDeletePle na kazi ndugu yangu michuzi kweli kaka unajitahidi san katika kazi yako nimefurahi sana kumuona Mkapa kwani ni rafiki yangu wasiku nyingi sana tulipotezana alipoondoka morogoro na kwenda huko kwao kugombania ubunge kaka michuzi naomba unisaidie angalau niopate mawasiliano nae tafadhali nitashukuru
ReplyDeletemr Kessy
Arusha
namba yangu ya simu ni 0755 380225 ukimpatia hiyo namba ndugu yangu utakuwa umenisaidia sana asante.
Nakubaliana na hapo juu, hata mimi mzee wangu alikuwa mbunge wa miaka karibu thalathini, na sijawahi hata kuingia ukumbi wa Karimjee (enzi hizo za Mwalimu) zaidi ya kuishia nje nikiwa kwenye gari, hata mama yangu sikumbuki kuniacha ili aende bungeni kufatana na mzee wake. Is this the sytle nowadays? and for whose expense? Maana lazima wakae hoteli au guest wing zao na lazima wale, waoge. Hawa watoto hawaendi shule? na hao wake zao hawafanyi kazi au kuna posho za maspouse siku hizi maana miaka hiyo kina mama zetu they had to work to meet the needs maana palikuwa hakuna chance za kufanya miradia as MBUNGE OR WAZIRI UNDER THE LEADERHIP OF MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE (MAY GOD PUT HIS SOUL TO REST). Ilikuwa kazi kazi na familia yako unaiacha nyumbani maana hela za walipa kodi zitumike kwenye shughuli muhimu! It so sad kuona yote haya sasa. Maana hata mawaziri wakuu waliopita wa enzi za Nyerere sikumbuki kuwaona kwenye matukio yote ya bunge, safari za ndani ya nchi, nje ya nchi! Haya tena!
ReplyDeleteHuyu MH. Mtutura ana wife BOMBA sana ameajiriwa na kampuni moja wanadili na printings anajituma sana BIG UP Mama Mtutura Mh. Umechagua wife yuko fit. I like her very Charming Mzee unajua kuchagua.Ndoa yenu IDUMU MILELE AMINA
ReplyDeleteMichuzi fanya maarifa yako yote ya upaparazi unitumie contacts za huyo Dorith,lazima atakuwa na email na cmu ya mkononi,anasoma Ulaya?.Bado kabichi,nakutumia contacts zangu baadae kidogo.(Ulivyo na uroho wa vitoto vidogo michuzi unaweza ukanibania ujumbe wangu.)
ReplyDelete