Home
Unlabelled
precision air waibua boeing 737-300
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Congrats precision,tunalisubiri kwa hamu sana hilo dude.Keep it up Precision.Braza michuzi ujue hiyo picha tu ni commercial advert, hopefully precision wamekupatia mchango kidogo wa kulipia blog.
ReplyDeleteHuyo 'msemaji' wa precision alisema wana mpango wa kulitumia kukata anga za wapi??
Mwanablog-Bujumbura
Hawa jamaaa wanajitahidi sana, hivi jamani ni nani mmliki wa precision air? Hivi tuseme community air line ndo imeambaa na uongozi wa mafisadi ulio-muvuzishwa au ?
ReplyDeleteChina inunue ndege Amerika (Kampuni ya boeing), halafu sis twende China kununua "boeing" ndege ya kujivunia!
ReplyDeleteKwa nini wana-Precision wasizungumze na Boeing Co. moja kwa moja? Kwa nini China iliuza ndege hiyo?
Utapeli upo, utapeli upo! Je, wana-Precision waliangalia hiyo ndege ilinunuliwa linni na imefanywiwa ukarabati mara ngapi, na kadhalika?
Kama wana majibu ya maswali haya, mantiki inabakia pale pale: China inunue ndege Amerika (Kampuni ya boeing), halafu sis twende China kununua "boeing" ndege ya kujivunia!
precision ni ya michael shirima ila aliwauzia kenya airways baadhi ya share kwa hiyo mtu binafsi hawezi akajifisadi mwenyewe
ReplyDeletehalafu kukodi ndege is not expensive when u compare to purchase a new one from boeing co, vilevile inachukua muda ku-deliver, mwisho precision hawajanunua ila wamekodi na unaweza kukodi kutoka sehemu yoyote ulimwenguni, kuhusu maintenance precision wana engineers na inspectors ambao lazima wameangalia yote hayo uliyosema, point ni kwamba hii ni kampuni ya mtu binafsi ambaye yuko kwenye hii biashara kwa zaidi ya miaka 15. i can assure you no ufisadi hapa bali faida
hii sasa angalau sio kama vile vipanya vinavotumia propeller walivyonunua toka france, ilikuwa waste of money
ReplyDeleteChina ni matapeli haswa!Bidhaa zote za Marekani wanazotengenezea huko China, wachina wanapiga copy kwa ajili yao then wanauza very cheap. Matokeo yake China inatisha kwa uchumi japo bidhaa ni chini ya kiwango.
ReplyDeleteafadhali ije hiyo ndege ili nauli zipungue kidogo. waTanzania tuna midomo michafu sana, eti vile vipanya vyenye propella ilikuwa ni wastage of money. As if wewe hizo hela unazo. BABA YAKO ANAYO??? WIVU TUUUUUUUU.
ReplyDeleteHeko PRECISIONAIR!!!!!
We anony wa saa 7:06pm,
ReplyDeletei m sure b4 precision hawaja amua kununua hiyo ndege they ask the same questions u r asking, and it was a long process, i believe they mitigate all the risk involve plus its NOT an over nite decision to rent a plane. B koz 2 buy a plane thru boeing its very very very expensive. Congrates precision-air
Mdau T-dot
PS: Haya watanzania wenzangu JOB OPPORTUNITY hiyo (flight atten.)
kama unataka kununua ndege mpya ni lazima ununue through boeing hiyo ni used sijui wameelewana vipi, hata hivyo sina trust na negotiator wa kibongo hata kidogo they save a cent today just to spend a dollar the next day
ReplyDeletemdau uliyemuuliza mdau mwingine kama babake ana hela ya kununua ndege(vipanya) vya propeller Hata kama mimi babangu angekuwa na hela ya kununua ndege asingenunua ndege ya propeller dunia ya sasa hivi na kama angelazimisha siipandi, kuna mtu bado anapanda ndege za propeller kweli?
kenya airways, yes wajanja sana hawa kunguru wameshaoda boeing 787 kadhaa wanakimbizana na ethiopia airline africa
Samahani muongeaji wa Apr 10, 10:45 Fisadi- Fisidi- Fisidisha. (sahihisho) "Mtu hawezi kujifisidi mwenyewe".
ReplyDeleteViongozi wa Kampuni ya Precion Air mimi ni mdau toka Muscat -Oman tulikuwa tunaomba ndege hii ianze safari zake DAR-DUBAI-MCT-DAR Kwa kweli sasa hivi kuna shida sana ya usafiri wa kutoka muscat-dar direct flight Kwa sababu watu wengi hawapendi kupanda ndege halafu wanakuwa transit ya masaa Dubai au Qatar.Tunaomba sana mtufikirie.
ReplyDelete