
Wivu uliotutanda uanatokana na hali duni wengi wetu tunanayoyaishi, ya kufanya kazi masaa 14 kwa siku bila kuona matunda ya kazi ngumu tunazozifanya. Anapotokea mmoja kati yetu kufanikiwa karibia dunia yote inatikisika kwa vishindo kama ilivyotokea swala la Jonie Mashaka, kwani wengi hawawezi kuamini kwamba uwezekano upo wa kijana kama yule kuingia sehemu nyeti kama soko la hisa la marekani.
Baada ya kurudi Tanzania chini ya mwaka mmoja, hatua niliyopiga kimaisha ni kubwa sana, hasa kibiashara. Marekani ingenichukua maisha yangu yote kufika hapa nilipo, kwa mantiki hiyo napenda kuwashauri kwamba hakuna kisichowezekana.
Lawama zote za machungu tunayoyaona humu ndani namshushia yeye Jonie Mashaka kwa kuanzisha hizi vurugu zote, alichokonoa zinga la nyuki kwa kidole, ila ukiyasoma mahojiano yake yote http://bongocelebrity.com/2008/04/02/kutoa-ni-moyosi-utajiri-john-mashaka/#more-1236 utajihisi na kukiri kwamba hupo sana nyuma kimaendeleo.
Mwenyewe nilimponda, kutokana na ukweli kuniingia. Lakini baada ya kufanya utafiti, kwenda kwenye hospitali ya Shirati na kupata ukweli kwamba aliendaga huko na kusaidia wodi mbili za watoto, wivu uliningia.Habari zakezimetapakaa sana katika vijiji vya huko Rorya.
Siyo mimi peke yangu, naona hata Mwajuma na Jovinata nao waliingiwa na ukweli lakini kwa njia tofauti za kumtafuta kimapenzi, ingawa mwajuma hakubali ingawa ni dhahiri kwa jinsi anavyouzunguka mbuyu
Kutokushirikiana kwetu kunatokana na kukosa vijana wenye vipaji vya uongozi.
Wasomi tunao, lakini pamoja na usomi, lazima wawepo wenye vipaji vya uongozi na watu wa kujiamini. Nadhani watu kama , Evarist Chahali, http://chahali.blogspot.com/ na Jonie Mashaka wanaweza kuiunganisha jamii yetu ikiwa tutatafuta ni namna gani tuanzishe ushirikiano wa kitanzania katika kila nchi.
Leteni ufumbuzi. Viongozi mjitokeze hadharani badala ya kujificha kwenye ma-blogs
Mwita Machage Chambiri
Mfanya Biashara
Mwanza TZ.
I did not read all of Mura's article as it was too bulky. One thing I agree and that is there seems to be a lot of obssession about majuu. On many occassions I have compared the performance of my old mates at home and overseas and trust me the successful at home are doing much better than the successful overseas. However, the doomed at home are nowhere near the doomed overseas. The choice is, of course, yours and you know where you belong. Mr Chambiri should note that in his current position is a success at home and chances are he will be doing far better than the few success stories overseas (financially, if you like). Only when he goes bust (not praying for that) should he wish he were sweeping the streets of Houston. Where about in Mwanza are you?
ReplyDeleteHey Michuzi,
ReplyDeleteHuyu Mwita anachokisema kina ukweli wazee mchambueni vizuri na kwa makini.Mimi nipo hapa Marekani/Mn ni kweli kuwa ukiwa hapa usa bila mpango/plans lazima uatakuja kujuta tu siku za usoni,kwani utakaporudi nyumbani utakuta vijana wenzio wako mbali kishenzi kimaisha.Inatakiwa ukiwa hapa,piga buku,kama ni kubeba box beba kwa nguvu zote,fuata sheria za nchi,hachana na starehe,makundi unazoona/hisi zinaweza kukuletea matatizo kama ya mwenzetu Mwita.Ni wazi kuwa Mwita alikuwa hasomi,alikuwa anatafuta tu maisha Tx.Once you have good education(at least masters),Nakuhakikishia hata ukirudi home hutakaa ujute,hata hapa usa waweza kupata kazi yenye heshima hasa kama umsoma rare/Unlimited professional like Medicla field.Ni kweli watu wengi wanarudishwa kwao kutoka hapa usa kwa sababu mbalimbali hasa hizo za messed up relationships....!!!
All the best Guys....!!!.
Mdau,
MN.
HONGERA KWA KUONGEA UPUUZI ULIO NA AKILI.
ReplyDeleteLABDA WABEBA MABOKSI WENZIO,WANACHUKUA MFANO KUTOKA KWAKO NA KUAMKA KWENYE UJINGA UNAOWADIDIMIZA.
ukweli mtupu msukuma umeongea.
ReplyDeletemimi nachukia watu wanaopenda kusema leteni ....leteni...njooni ...njooo mlijenge taifa....kwanini wewe usilete huo ufumbusi....kwanini wewe usianze kujenga nchi.......kwanini unasubiri watu wengine?
ReplyDeleteGood for you kama umefanikiwa lakini kumbuka maisha ni popote......sasa destiny yako ilikua tanzania....hata huku kuna watu wamefanikiwa sana...inategemea ni wapi upo na goals zako ni nini? ...na kama mpaka wamekudeport basi life style yako ilikua sio ya mfano mwema wa kuigwa na thanks God walikurudisha kwa vile labda huku ungekua bado uko waste kishenzi.....
Goodluck with your life lakini usikandie sana kwa vile maisha ya huku ni tofauti sana na ya bongo na ugumu wa maisha ya huku ni tofauti sana na ugumu wa maisha ya bongo....sidhani kama wasingekuondoa ungeondoka mwenyewe kwa hiari yako.....na Bongo na huku ni kuzuri sana kwa wasomi lakini kwa mtu asiye na elimu, wala refariii wa kumsaidia huku ni kuzuri sana sana tu.....Ni heri watu waoshe vibibi na waweze kusaidia ndugu zao kuliko kukimbiza mkokoteni kariakooo au kufanya kazi za kupokea simu au kazi za mtu aliyemaliza form four tu tanzania...kama mtu hana ndugu wa kumwingiza mahali...ni bora wapande tipa waje huku wakiweza....wataweza kusaidia ndugu na jamaa....the truth must be told...
Mbona huwaelezi huko hilo????...Inamaana wewe ni mabaya tu uliyoyaona huku....hamna hata zuri uliloliona....???? Hukujifunza lolote....nzuri.....??????.
We acha tu naona huyo aliyekusababishia yote hayo sasa hivi hana mbele wala nyuma, si kazi ndio mmoja wa hao hao wanaotukana watu kwenye blogu kwa sababu ukweli huwa unauma. Lakini watu wanasahau kuwa Mungu si Athumani, basi huko UK ndio kuna kesi kibao za kuchomeana, sijui wanafaidika nini? Eti nyie mnaowachomea wenzenu kwa bibi si nawauliza! Eeh nawauliza nyie huwa mnalipwa posho? Na visa huanzia kwa kugombea bibi au bwana!
ReplyDeleteWaliokuwa wanabisha kiwapi, ushahidi huo hapo mbele ya macho yenu. Na kama mkitaka ushahidi mwingine nendeni kwenye blogu ya Mzee wa Sumo, mpoki.blogspot.com, posti ya Mkutano wa CUF, humo kuna comment chache sana, lakini kuna Mtz, Mpemba 100% na mwingine Muunguja, wangekuwa wanaweza kuonana wangetoana macho! Mtz katoa maoni, mpemba kajibu matusi, Muunguja kamalizia kwa kumkandya mpemba! Hao ndio watanzania!
NIMESOMA MAKALA YA PADRI KARUGENDO KATIKA GAZETI LA RAIA MWEMA, NAYE AMEYASEMA HAYA HAYA YA JAMII ISIYO NA MAADILI, NA YEYE JE? HAYA NENDENI MKAMTUMIE MSG ZA MATUSI! UKIONA MTU ANARESORT KWENYE MATUSI NI DALILI YA KUISHIWA. HOJA HUJIBIWA KWA HOJA!
Wewe mimi sina neno nawe, USHASEMA MWENYEWE MPUUZI. CASE CLOSED.
ReplyDeleteMBONA MNAMSHIKILIA BANGO SANA HUYO MASHAKA????AU NI WALL STREET INAWATISHA?
ReplyDeleteKUNA WATANZANIA WANGAPI WANAMAENDELEO TENA VIJANA WADOGO WALIOELIMIKA NA MSIMAMO USIOYUMBA..ASIKUDANGANYE MTU,ELIMU,DETERMINATION AND AMBITION LAZMA UTATOKA TUU,IWE LEO AU KESHO LAZMA MTU UTOKE!!MIFANO TUNAYOMINGI HAPA HAPA BONGO,L MASHA,J NKYA,H BOMANI ETC.ADUI MKUBWA WA MAENDELEO SIKUZOTE NI KUSIKILIZA MANENO YA WATU WASIOKUSAIDIA KWA NAMNA YEYOTE ZAIDI YA KUONGEZA MZIGO JUU YA MZIGO.
ACHENI KUPOTEZA MUDA NA MAJUNGU NA MAMBO YASIYOELEWEKA,JIENDELEZENI KWA FAIDA ZENU WENYEWE.MAISHA YENYEWE MAFUPI KWANINI UPOTEZE MUDA WAKO NA WATU WASIOTAKA KUONA UNAFANIKIWA?WABONGO WENGI WANAFURAHI KUONA WOTE MKO LEVO MOJA YA FIKRA NA UMASKINI.
Jamani ninavyojua mimi ni kuwa huyu jamaa John Mashaka ni mfanyakazi wa Wachovia Bank hapo New York. Sasa mnavyomuelezea ni kama vile anamiliki kampuni fulani na anauza hisa wall street. Sija wapata kabisa.
ReplyDeleteHahahaaaa, km ni mchumba tu umeshampata!!! manake mwenyewe umevunja sanduku...haikutosha,,, ukaenda kuvunja benki..afu ukaelekea mitaa ya langolango kununua hicho kisweta na hiyo jinzi ili mradi tu na we uonekane wamo...haya bwana nafikiri jovi atabadilisha mawazo na kukutaka wewe!!!!!
ReplyDeletemwana mwanza waukweli
Hongera kwa maoni,
ReplyDeleteMdau from Vancouver,WA
Wewe mnafiki na mbeya ndio nyie nyie manaosimanga watu.Yaani ulivyosikia habari za Mashaka mpaka umeenda kufanya utafiti, kuulizia huko hospitali ili iweje? Mbona wengine tumefurahia sana hilo na wala hatujasikitika na kuona wivu?
ReplyDeleteSi bure walikurudusha manake muda mwingi ulikua njiani uanafanya utafiti wa mambo ya watu.
Wewe unasema Mwajuma hakubali anazunguka mbuyu wewe umejuaje kama sio umbeya na majungu hayo? Speak for yourself...Labda wewe ndio unatafuta mchumba hapa.
Wewe ndio wamojawao mnaosema watu na majungu yenu.
Sasa toka umefika bongo nini umesaidia nchi yako...au ni mimi nimefanya hivi , mimi nimefanya vile. Kesho tumeni hela zisaidie nchi. Kama sasa hivi maisha yako ni mazuri kuliko yalivyokua huko TX nadhani unauwezo mkubwa wakusaidia jamii. Hebu tuambie nini ulichofanya kwa society yako toka umefika bongo? Kwanini usubiri sijui nani na nani waunganishe jamii...Acha kufanya utafiti unapoteza muda....do something for your country...
Hongera,
ReplyDeletesijawahi nkuweka comment on this blog but i had to do it on this one...nahishi houston(kariakoo ya marekani) as u call it ..hav been here for 8 yrs,nitakubaliana na wewe kwenye kupeana majungu but siatkubaliana na wewe kwamba hatushirikiani..hakuna mji wenye watanzania wowote marekani unaosaidiana kama marekani..tumekuwa na bahati mbaya ya kufiwa na wenzetu ama wenzetu kufiwa na ndugu na jamaaa..na kila ukitokea msiba tunakusanyika wote na kuhakikisha kiasi kinachohitajika kinabatikana na zaidi ambapo miji mingine marekani haifanyi vitu kama hivi!..by the way hiyo picha hapo ni baada ya kuyapatia maisha bongo ama? ..maana umechoka kishenzi(no offence)though!
ReplyDeleteHongera sana. Mungu akubariki. Nimesoma na ndugu yako Ilboru. Ningependa kujua yuko wapi. Kazi njema.
ReplyDeleteBIASHARA YA KUVUA SANGARA??
ReplyDeleteMZEE GEAR YAKO YA KUTAFUTA MADEMU YA KISUKUMA KWELI. HUPATI DEMU HAPA FAILI LAKO LA UHAMIAJI CHAFU TAYARI KWA KUWA WAJOMBA WALIKUPIGA PALANJA KUTOKA KIWANJA
Mr. Mashaka, did not do all alone he need to give credits to other Wachovia employee in Charlotte and SDA Church New Life, any one can go Wall Street and take a picture . Nihayo Kazi nzuri
ReplyDeleteWachovia Employee Helps Children in Africa
CHARLOTTE, N.C. -- A Wachovia employee in Charlotte has made it his mission to raise money for food, medicine, and running for children in Africa.
John Mashaka saw the mother of this 10-month old boy crying last time he went to Africa. Her son was paralyzed with meningitis.
“She said, “There's nothing to be done. I’m just waiting for my son to die,’” he said.
Mashaka's a native of Tanzania. But he has lived in Charlotte since graduating from Livingstone College in Salisbury in 2002.
On this last trip back to Africa in October, he found 85 children in the Shirati Hospital who needed medicine. It would take $6,000 to buy the drugs to potentially save their lives
“I just closed my eyes and I said, ‘This is a life and death situation. The money will not take me anywhere. These children need life.’ I closed my eyes and paid for them,” he said.
But Mashaka takes no personal credit for his generosity.
“I cannot say that I saved their lives. God saved their lives,” he dais.
Mashaka's passion to help orphans in Tanzania stirred his co-workers at Wachovia.. One person mailed stuffed animals to the New Life orphanage for children who've never had a toy.
They paid for nutritional supplements for children with AIDS, a water pump for a village, a well for the orphanage. The children can now bathe, and wear clean clothes. But problems are harder to solve in a nearby village.
Many children there lost their parents to AIDS. They are being raised by the elderly. The young adults died from AIDS. Mashaka's group donated food to make it easier.
On Mashaka's first trip to Tanzania he met Solome, a def and mute girl. She had been abused and was living on the street. Mashaka helped her find a family to live with.
He will return to Tanzania sometime this year, bringing again those simple things Americans take for granted - food and water, medicine and clean clothes.
You can donate money: BB&T Bank North East SDA Church New Life Orphanage Project Ac#5297667868
http://www.wsoctv.com/family/15032767/detail.html
Jamani kwani kila mtu lazima aambatanishe picha na comments tumechoka kupata nightmares enough is enough. people need to understand wote hatutakuwa sawa kwenye kucomment issue humu ndani ya blog kwani imekuwa ushindani? people should have freedom of speech kama comments haziruhusiwe na zinawakera tuone kama mtapata news za harakaharaka kama za kaka michuzi kwenye blog nyingine, na kama mnakerwa someni magazeti ya UHURU kama humu ndani kumewashinda. Waosha vinya waoshe na waungwana wasiopenda kuosha waendelee na comments zao. Hii ni sehemu ya kubadilishana mawazo msichukulie issue so serious kiasi cha kukosa usingizi.Tumezidi kulalamika mbona hamuongelei comments nzuri zinazowekwa humu ndani hebu laleni mkue.
ReplyDeleteNa nyie waweka picha hamjui watu wanahasira na maisha watapaka tu to be safe zihifadhi kwenye album yako au bandika kwenye FACEBOOK!
KAKA MICHUZI ENDELEA NA KAZI YAKO NZURI YA KUWEKA HABARI MOTOMOTO!
mdau mstaarabu!
Michu sasa unatuchosha funga huu mjadala umeshapita muda wake wanaotaka kuuza sura wauze kwa namna nyingine. lakini tuna macelebrity tayari
ReplyDeleteI'm getting my popcorn ready. This is gonna be a good one, waosha vinywa na wachafua hewa wakianza mashambulizi yao.
ReplyDeletena wewe watutia aibu kubwa kumbe umerudishwa kwajiri ya demu badala ya kufanya kazi na bidii unalilia mwanamke wakata wamejaa bongo si ungejichukulia tu tena inaoneka wewe wewe ndiyo ulikuwa mchokozi kwa kuchukuwa kifaa chake yaani ulikuwa unajifanya unajua kumbe waungua na jua lol! ulisahu kama jamaa ndiyo aliyekupeleka huko lakini bora umerudi ungetutia aibu sana uko sasa angalao una mambo yako unafanya hongera sana ila ahc achuki binafsi kaka yangu
ReplyDeletekaka unatisha!
ReplyDeleteunatafuta demu au?
ReplyDeleteoya babu unafanya biashara gani maana umechoka na umekomaa(mgumu) kwa style
ReplyDeletejamani mbona inasikitisha hata huku tunakoishi mabongo kuinama pia hatupendani sio vijana hata watu wazima waliopo nje ya nchi ni kiongea kuhusu watu wazima ninamanisha kuwa ni wale watu wazima tunaowaita mafisadi hupenda sana kuchonganisha watu kuonyesha ubabe wao eti wao wazee wa mji kumbe ndio wanafiki wakubwa hawapendi kuona vijana wapya wakiendele kwa kweli jamani watu kama hawa wanaelekea kwenye kuretaya kwanini wasirudi bongo na kuwaachia watoto wadogo waje kupata riski zao naomba michuzi swali hili niwekee mtandaoni kwani lakera kila mtu.
ReplyDeleteOyaaa, sema unamtaka Mwajuma, Bibi Maendeleo, Jovita au Manka? Muraaa, mwanaume ukikasirika UNAPIGANA! Huna lolote wewe, unagombania mwanamke mpaka unarudishwa, nyie ndio majambazi tu. Umenikera sana
ReplyDeleteUNATULETEA UPUUZI TU KILA SIKU MICHUZI NAKUTUMIA MAMBO YA MAANA UTAKI KUTOA....MDAU 00316
ReplyDeleteBrother michuz kwa maoni yangu naomba huu mjadala wa WATAFUTAJI NA WATAFUTWAJI,(MADEM NA MABWANA)huufunge sasa kwani tumeisha wajua,na wale wanao penda kujisifia pia tumeisha wajua??kwani tunajua kutoa ni moyo?sasa iweje mtu ajisifie kiasi hicho cha kujitoa kwenye blog?kama maisha mazuri,nathani akuna mtu anae penda maisha mabaya?kila mtu anapalangana kutafuta maisha mazuri awe mbeba kokoto au fisadi??
ReplyDeleteBRO SASA TUNAOMBA UBADILISHE MADA??HII SASA NOMA???
mdau~SEOUL
sijawahi kuona mkurya mnafiki kama huyu duniani, bila shaka alizaliwa pemba, ila una roho ya korosho, sio moyo wa kikurya huo nyamwabho-
ReplyDeleteDada yako anna, esta, robi wako wapi vile? na yule dogo werema!
Sasa kuna tatizo gani kufanya kazi masaa 14 kwa siku? Na wewe umekuja kutengeneza maisha huku.
ReplyDeleteHivi mtu anayefanya kazi masaa 14 kwa siku hapa marekani anaweza kuwa na hali mbaya ipi? Na hali yake ina kuwaje duni? Chukulia huyu mtu apalipwa dola 10 kwa saa, kwa siku ana 140 USD kwa hiyo kwa mwezi mara siku 30 za mwezi ana 4200. Haya huyu
analipa apartment ya room moja (mfano) kwa dola 800 kwa mwezi, toa
kodi ya serikali kama 300 hivi, usafiri 100, unabakiwa na 3000 kila mwezi. Sasa sija piga hesabu ya vitu kama simu za mkononi na anasa zingine kwa kuwa si za lazima sana. Ni hiari ya mtu kuwanavyo.
Toa chakula kama dola 100 hivi, unarudi chini na kubakia na 2900.
Haya sema tumia 900 kwa mambo unayoyajua wewe, starehe, nguo, takataka zote zingine, mwisho wa mwezi unakuwa na 2,000 mkononi.
wewe unaadhiki gani? Haya, 2,000 mara 12 (mwaka)unatengeneza kama dola 24,000 hivi NET. Hiyo faida tupu. Huyu ni mtu wa kawaida sana na ndo kaanza kazi hapo.
Sasa jamani tuambiane ukweli ni bashara gani wewe mwita unafanya ikupe faida usd 24,000 NET kwa mwaka? N ani wabongo wangapi mnaweza kufanya kazi hapo TZ mkaingiza kiasi hicho cha fedha baada ya kutoa gharama zote?
Halafu kufanya kazi kwa bidii kama hivyo ndo sifa ya kuwa muwajibikaji na kilichotuleta huku.
Kustarehe hapa watu wanastarehe sana tu na kazi wanafanya sana tu. Fehda wana make na maisaha ni bomba sana hakuna kufuatiliana hakuna kurushana mishahara kama waalimu wetu wa kule Nangurukulu wanvyoteswa na serikali yao.
Jamaa anaelewa hilo na ndo maana anasikitika kutoswa US. Na walahi analia huyo.
Mimi nawashauri wabongo fanyeni juu chini tieni timu usa mje kumake mpney na kuishi maisha freshi yasiyo na presha wala nini. Kila kitu kinapatikana hapa hadi matembele, hutamiss chochote ukiwa hapa. Ushauri tu, hata kama umeingia hapa bila karatasi fanya juu chini, ingawa ni ngumu, upate paper uishi halali, uta enjoy sana maisha hapa na kuwasaidia sna wabongo watakaoshindwa kuja huku kwa kuwatumia fedha na mali mbalimbali ziwasaidie kujikongoja bongo.
TUSIDANGANYANE MAISHA HAPA SAFI SANA, la msingi fuata sheria usijiingize katika matatizo na police.
Upate $ 4200 halafu kodi ya serikali ni $300, una uhakika na hizo hesabu zako? Basi hao watanzania waliompa pesa sijui mzee gani na kikundi chao kutoka huko Marekani ni wapuuzi, maana wangepeleka pesa zao National Housing wakapewa nyumba basi mchezo umeisha! Wacheni kusema uwongo na kujipandisha chati bure, labda wewe mwanafunzi hulipi kodi. Ulipwe 4200 ukatwe kodi 300 tu? MAWE!
ReplyDeleteNA RECESSION HIYOO INAKUJA NA KODI YENU YA 300 kwa mwezi, basi hata wamarekani wenyewe wasingeshindwa kulipa mortagage. Jamani acheni uwongo huo, kuna watu wanalia na majumba waliyomortgage sasa kama unabaki na 24000 kwa mwaka, kinawashinda nini kulipa mortgage!
ReplyDeleteAah wenzetu mna mahela, akiba ya $24,000 kwa mwaka, sasa huwa mnaitisha michango ya nini kwenye blogu na nyie mnazo mnapopataga shida? Na kinachowafanya msirudi makwenu kila krismas ni nini wakati nauli ya ndege ni $2000 Qatar kutoka huko Mpaka Dar? Na hata Swiss air nauli bei poa, huwa kinawaweka kitu gani na nyie pesa mnazo? Mtutumie huku tujenge madarasa, mwanawane tukipata watu kama nyie kila mmoja akajenga chumba kimoja cha darasa kijiji kwao au zahanati ya kijiji tutakuwa mbali. Kumbe tuna matajiri kibao humu tunashindwa kuwatumia sisi wenyewe.
ReplyDeleteMATAJIRI HAWAOMBI MICHANGO KUTOKA KWA MASIKINI!
coment iko fresh sema mtu wangu mie binafsi huwa nachukia sana watu wanaovaa minyororo na macheni,
ReplyDeletesasa wewe ukivaa mnyororo shingoni na mbwa tumfungie nini?
Nilikosea kubonyeza kitufe ilikuwa nibonye 8 ili iwe 800 na si 3 kuwa 300. Hakijaharibika kitu katika ile 900 toa mia tano hapo hesabu zinabaki palepale hakuna kudanganyana na hatujipandishi chat, tatizo watu wanawaongopea sana na mnatishwa ohho sijui kuosha vibibi au kufagia nini sijui. Kwani kuna shida gani mtu kuwa nesi?
ReplyDeleteChukulia mfano kama kuna wabongo 100,000 (huu ni mfano tu inaweza kuwa wengi zaidi au wachache) hivi hapa marekani na kama kila mmoja wetu atatuma home dola 500 kwa mwezi, itakuwa kama USD 50,000,000 mara miezi kumi na mbili ni 600,000,000 in usd. Sasa kama tunaamua tu kusaidia serikali tunashindwa nini? Kwa nini wabongo tusijitolee tu mwakani kwa mfano kuisaidia serikali katika budget yake ya mwaka hiz 600,000,000 usd?
Mfano wangu unamlenga huyo jamaa hapo juu kwa maneno yake ya kazi kwa masaa 14 kwa siku kitu ambacho ni cha kawaida sna huku watu kufanya, mimi mwenyewe nafanya masaa 16 sasa kwa siku na si 14.
ReplyDeleteKuhusu mortgage, sikulenga watu hao, mtu mwenye mortgage maana yake huyo kaamua kuishi hapa. Mimi nazungumzia mtu anayekuja kuchuma aendeleze bongo na ndo sababu sikuzingatia gharama za vitu vya anasa kama simu za mknono na mausafiri, na kadhalika.
Lengo lilikuwa juu ya mwita hapo juu, mtu ambaye hana mtoto wala familia.
Halafu si lazima mtu ununue nyumba.
Na issue ya subprime mortgage kukolapsi ukiiangalia kijuujuu bila kuiendea ndani utafanya tafsiri na judgement isiyofaa.
Hebu pita hapa uelewe hii kitu ni nini http://www.investopedia.com/terms/s/subprime_mortgage.asp
Hivi kwani kuwa mmarekani ndo nini?
Kwani wao ni miungu hawafanyi makosa.
Nitakupa baadhi ya factors zilizowaleta watu katika tatizo hili.
bofya hapa:
http://www.investopedia.com/articles/07/subprime-blame.asp
Tatizo kwa watu wapenda sifa badala ya kunua nyumba wanazoweza kuzilipia wao wakataka majumba ya kifahari ya bei mbaya, matokeo yake ndo hayo. Wengine walisaini makaratasi bila kusoma, hata wazungu pia hao unaowaita wamarekani.
ReplyDeleteJohn Mashaka ukisoma info zake yuko Wachovia Bank huko North Carolina na sio Wall Street New York.
ReplyDeleteHe aint nothing but a sucker for love. I'm just quoting his own words and admittance. Just do your time back at home because their is no way you can come back to US. You fucked up really bad and you know it.
ReplyDeleteHuyo mluga mluga hajawahi kukaa Houston watanzania tuache uongo ..halafu ku-compare the fourth largest city in America with Kariakoo is bluntly pathetic.
ReplyDeleteMimi nampa ongela kwa mafanikio huko Mwanza.Pia pole na mkasa uliokupata kutokana na ugomvi uliotokea baina yenu.Ila mafanikio ni popote!Kuna watu waliofanikiwa na wasiofanikiwa hapo Mwanza na Tanzania nzima.Pia hata hapa Marekani kuna watu,wamefanikiwa sana na ambao hawakufanikiwa,hivyo you can't generalize!Waliofanikiwa wako wengi tu,waliolenga kilichowaleta baada ya kuangaikia VISA hapo Tanzania.Kubeba Box au kuwa security guard is part of the process!Wamarekani wenyewe wanaosoma vyuo vikubwa kama Havard,Yale,Princeton,au UC Berkeley,utawakuta wanafanya kazi za kuosha vyombo kwenye vioteli,ambaye huyo huyo baadaye atakuwa Rais,Senator,daktari au nurse wa jimbo la hapa.Clinton na mke wake wamefanya kazi kwenye restaurant DC na Connecticut!Anything has its beginning and its end!Hata ukimuuliza Issa Michuzi hapa,ameanzia somewhere na kufikia hapa alipo!So, hata wewe umeanzia Marekani na umefanikiwa Mwanza.Hivyo don't let anybody end your favorite dreams!Jitahidi popote hata kama uko Djbout,always remember where you are comming from!
ReplyDeleteMwanaKijiji
Hello Mdau, Kwanza naomba nikanushe uwepo wako Houston, kwani mimi nimekaa hapa kwa miaka zaidi ya 10 na sijawai hata siku mmoja kuona sura yako.
ReplyDeleteSasa kama uliondolowe US sababu ya either assult au any kind of abuse kwa wanawake or otherwise, please let the public know.
Kuja US au UK ni personal decision which i always respect. Kusaidia Tanzania pia ni personal decision kwani hapo hapo Tanzania kuna watu mult-million nawanashindwa kutoa vyandarua mpaka Bush anakuja kutupa net za mbu. So, please think before you pup your big mouth open.
Kila aliyekuja US anasababu yake binafsi, wengine wamekuja kusoma, wengine wamechoshwa na Chenge na wenzie wanaoiba million za walipa kodi na kuziweka kwenye offshore accounts, na wengine wanakuja kuvaa timberland and roll on Range Rover. That stays as personal decison.
Tatizo la Ujamaa ndio limekufikisha hapo ulipo, sababu ya ujamaa ndio maana unaamini ni obligation ya kila mtanzania kununua vyandarua kwa hospital za Tanzania au kununua quinin kwa wagonjwa. Hakuna maana ya kulipa tax basi kama serikali inashindwa ku utilize resources kwa wananchi wake. However, sikatai watu kusaidia kwao bali liwe swala la personal decision na sio wewe kuja kuargue.
Kuna watanzania wanaotoa nyumbani lakini hawajulikani sababu hawajisemi, na niwengi sana. wewe ulivyokuwa US ulikuwa hufuatilii ndio maana hujui. Watanzania kama wanaoishi Witchita Kansas washawai toa vitanda vya Hospital huko Lushoto, Mtanzania aliyemaliza udaktari pale Harvard, Mr.Minja yeye ameshaisaidia sana hapo nyumbani. Mtanzania ambae alikuwa mkazi wa Houston na sasa yupo South Africa yeye ashatoa million of money kwa maeneo mbali mbali Tanzania. Jumuia ya Manurse wa Kitanzania washachangia ufunguzi wa vituo mbali mbali vya kulea watoto hapo Dar na Pwani.
Wewe ndio hujui unachoongea na ndio maana unabwata bwata. Kusema kuna watanzania wenzetu tulio wacha wamendelea hiyo sentensi ni too broad. Ningeuliza in what % kama wewe kweli ni mfanya biashara. What sample space has make you to reach that decision? I argue ufanye homework yako kabla hujaja online na kupayuka.
Kwa kusema Houston watu hawana ushirikiano that is a lie. Houston washakubwa na misiba mikubwa zaidi ya mitano ya watanzania wenzetu tuliokuwa nao hapa hapa Houston. Houstonian waliweza kurise fund with less than a week na kukusanya full amount ya kutuma miili ya marehemu na wasindikizaji. What kind ya umoja unautaka wewe?
Houstonian wapo pamoja kuanzia misiba na sherehe. Kama wewe ulitaka watu wakulipie bond ili utoke kwa kisa cha assult au kuabuse mwanamke au kuviolet status yako then sorry.
Please usitupake matope, mimi nipo Houston kwa miaka zaidi ya 10 na sikujui na ninawajua watanzania kwa asilimia 100.
Mdau Wa Houston, Texas
huyo mwita asiwadanganye wala nini,naufahamu vizur ukoo wa chambiri anatoka kwenye familia yenye uwezo kifedha kama alichemsha marekani basi familia yao ilimsupport kumpa mtaji n.k aanzishe biashara.endeleeni libeneke wadau wa ughaibuni wala asiwababaishe.
ReplyDeletemh yaani wewe hilo chen kifuani na mkononi la nini? au wewe ni muimba bongo flava???
ReplyDeletehapa na wewe huna tofauti sana na wauza sura go direct to the point utapata tu mchumba.
kaka mwita hongera kwa kutoa hoja nzito,mie siishi ughaibuni hivyo siwezi comment sana.Ila nasikia huko marekani ukiabuse wanawake ,unaweza usiruhusiwe kurudi maisha.Langu kubwa nikwamba baadhi ya nyie mwita mmejiingiza sana kwenye mambo ya wanawake nowdays(umal....)ndo hayo yamekuponza ,pili hasira sana kidogo kupigana.zaidi ya haya hongera kwa mafanikio.
ReplyDeleteI know this guy quite well. I covered him (Star-TV) during his trip to Tanzania in 2007.His family lives in Dar. Sina ushusiano naye, kwa hiyo msizushe kwamba kanilipa sina haja ya kulipwa
ReplyDeleteI met him when he went with a group of young people celebrities to Mkuranga village,ambapo watoto wengi wameacha bila wazazi. Lunch was prepared for everybody kwa courtesy yake. He is very humble and very polite.
Alitoa vyakula vingi sana kwa wanakijiji.He hired a minibus, along with Khadija Mwanamboka. There were several radio personalities, Dinah Mario Nancy sumari, Jokate etc… niliongea naye sana kwa zaidi ya masaa manne siku hiyo
Katika kituo cha New-Life Orphanage cha Magomeni, aliwanunulia pampu ya maji, magodoro, mablanketi vyakula na mahitaji mengine muhimu.pigeni simu 0754-202-216 ili mthibitishe the so called investigative journalists
In 2006, katika hicho kituo cha New-Life alienda kwa muda wa siku 5 bila kula kwa jili ya hao watoto, alikuwa akilala nje ya jengo. STAR-TV tuna uthibitisho ya haya yote
Kituo cha mayatima cha Safina cha mwananyamala pale alikaa siku tatu bila kula akawanaunulia vyakula vingi sana. Kitendo ambacho wengi wetu hawajakifanya
I think we are posting so many unnecessary comments; He has been doing charity for a long time for those who know him, and never publicized anything. I think jealousy is on the works here, in a very high gear. What is quoted here is a single instance from one of the hospitals in Musoma where he helped two wards
The last writer, rather than criticising his work, why can’t you work with him or show at least what you have done? Watanzania, wenzangu watu kama hawa inabidi tuwape moyo na kuwahimiza badala ya kuwacheka. Kikazi anafanya na Benki Moja kubwa la marekani jina sikumbuki nay eye ni investment banker Ni jamaa mtaratibu sana, na haya yote yalitokana na investigative work niliyofanya.
Nyie msijifanye kumjua. Mimi nilikaa naye kiti kimoja kwa masaa mawili, na pia kumhoji sana Dar. Nilipiga simu hadi kwa mkuu wa wilaya Tarime Stanley Kolimba, ambaye alinithibitishia kazi zake wilayani Tarime.
Katika kijiji kimoja cha wilaya ya Rorya, amechimba maji kwa ajili ya kijiji kizima. Wazee wote, wanawake wajane anawalisha kwa kuakikisha hawakosi chakula. Tunajidhalilisha sana kutokuchunguza mambo hau kutokuelewa ni vitu gani tuna comment.
I have done lot of research regarding this guy therefore wonder why some of you gets these under cooked stories. Mwananchi Feb, 29 a well written, those who read it would be touched, kwa kifupi ni kwamba tuacheni majungu na wivu !!!!
Mashaka:
Usiyasikie ya hawa watu, wamechoka hawa, hawana jipya endelea na shuguli zako, wala usikate tamaa Kwani Mungu atakulipa tu. Mike safari ya Mkuranga kama utanikumbuka.
Mike…
WADAU, NGOJA NIWAPE UKWELI WA US NA ULAYA MAANAKE KUNA WATU WANAONGEA OVYO TU WAKATI HWAJUI HALI HALISI, WANAONGEA TU BILA KUWA NA FACTS. HUKU BWANA ATA UWE NA MASTERS KUMI NA PHD MIA MOJA KAMA MAKARATASI YAKO YA UHAMIAJI HAYAJAKAA SAWA BORA URUDI BONGO MAANAKE UTABEBA BOX NA KUSAFISHA MAVI MPAKA UTAZOEA HIYO HARUFU YA MAVI.
ReplyDeleteKAMA UNA ELIMU FRESH WALA SIO LAZIMA UWE NA MASTERS LAKINI PAPERS ZAKO ZIKO FRESH I.E. UNA PERMANENT RESIDENCE THEN KAZI NZURI NYINGI (FOR NON ENGLISH SPEAKING COUNTRIES, LAZIMA UJUE LUGHA ZAO, HAPO PAKALI). KAMA UNATAKA UWE SUCCESSFUL HUKU ZAIDI YA BONGO PROFESSIONALLY HIYO ITATEGEMEA UMESOMA COURSE GANI. UKISOMA COURSE ZIFUATAZO FINANCE, MEDICINE, PHARMACY, COMPUTER SCIENCE, ENGINEERING ASIKUDANGANYE MTU UTALIPWA MSHAHARA AMBAO DIRECTOR YEYOTE WA BONGO HAUPATI. MRADI UWE UMEPASI VIZURI NA UMESOMA CHUO CHA MAANA, UWE MBANTU, MCHINA, MUHINDI KAZI UTAPATA NA WALA SIO LAZIMA UWE NA MASTERS, KUNA KIJANA HAPA MZANZIBARI NA MWINGINE MZAMBIA WOTE MIAKA 26 TU NA WANACHUKUA PAUNDI LAKI MOJA KWA MWAKA, SASA WE NIAMBIA NANI ATAKUPA PESA KAMA HIYO BONGO UNLESS UNA DILI NA EPA.
HUKU BWANA NI ELIMU NA KARATASI OTHERWISE FORGET IT UNLESS UWE MWIZI KAMA WANIGERIA NA WAPAKISTANI. KAMA HAUNA KARATASI BEBA BOXI ZAKO WAKATI UKO MWANAFUNZI, CHUKUA DEGREE ZAKO, MALIZA NENDA BONGO KALE KUKU NA KUENJOY LIFE, THERE’S NO SHAME KUBEBA BOX WAKATI UNAJIENDELEZA KIELIMU. WANAOHARIBU NI WALE AMBAO BAADA YA KUPATA ELIMU ZAO WANAENDELEA NA BOX WAKATI BONGO KUNA KAZI KIBAO. AT THE SAME TIME I CAN ASSURE YOU KUNA WANAOFANYA KAZI POA TU HUKU NA MISHAHARA MIKUBWA NA WANASAIDIA NDUGU.
FURTHERMORE SIWALAUMU WALE AMBAO HAWANA ELIMU NA WANABEBA BOX NA KUSAIDIA KWAO MAANAKE WANAJUA WAKIRUDI KWAO HAKUNA DILI, JUA LITAWACHOMA MPAKA BASI. MBEBA BOXI WA DAR NA MBEBA BOX ULAYA WAPI NA WAPI. JAMAA WOTE WANAOKUJA HUMU NA KUWAPONDA WABEBA BOX NI KWAMBA THEY HAVEN’T GOT ANYTHING GOING FOR THEM SO THEY JUST HATE. AKIFUNGA KATAI KAKE ASUBUHI NA KUNUKA KWAPA KWENYE DALADALA KWENDA KUPOKEA SIMU CALL CENTRE YA VODA ANAJIONA ANA ZINGA LA KAZI WAKATI ATAPANGISHA CHUMBA MIAKA YAKE YOTE.
DON’T HATE ON EACH OTHER AU MTAKOSA MAENDELEO.
CHANGAMOTO HIYO MMEPEWA WADAU MLIOPO MAREKANI, ANZISHENI MFUKO WA KUSAIDIA JAMII KILA MWEZI MUWE MNACHANGIA DOLA 500, KWA UJUMLA WENU ZITAKUWA PESA ZA KUTOSHA, MJE NAZO HOME KUJENGA ZAHANATI NA MADARASA YALIYOTUSHINDA, NYINGINE TUWALIPIE WATOTO WETU ADA ZA SHULE, MUANZISHE KA SCHOLARSHIP FULANI HIVI. KUMBE MIJADALA HII HUZAA MATUNDA MAZURI BADALA YA KUISHIA KUTUKANANA. NYIE ANZISHENI SIE TULIO NYUMBANI TUTAWASAPOTI. HATUTAKI SENTI TANO HIZO PESA NUNUENI VIFAA, MLIPENI FUNDI NA HATA MKITAKA HIYO MIRADI FANYENI KWENYE VIJIJINI VYENU MLIKOTOKA SIE BADO TUNAWASAPOTI!
ReplyDeleteHoja ya Walio Marekani imeungwa mkono na imepita, tunasubiri utekelezaji.
HAYA SASA NA NYIE MLIO UKEREWE TUAMBIENI MNAWEZA KUCHANGISHANA £ PAUNI NGAPI KWA MWEZI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU?
HONGERA SANA BWANA NGWENGWE KWA MAELEZO YAKO NA MAPENDEKEZO MUJARABA! MAKOFIIIIIIIIIIIIIIII!
HALAFU WEWE CHARITY. UMEONA MA BONGO STAA NDIO WASHAMBA WA KUVAA MINYORORO. MOUNE KWANZA! NYIE NDIO MALIMBUKENI WAKUBWA! GO EAST GO WEST HOME IS BEST!
ReplyDeleteThis is typical jelousy. If you messed up in US you just ignant and you deserve to be bongo otherwise you would have been doing hard time and you know them niggas would be looking at your fat ass. Deep inside your sorry ass you know you messed up and you cant come to the US again.
ReplyDeleteMy only suggestion is do your time in the rock time and forget about US because it aint for you.
Ama kweli wewe ni mura hujaacha ushamba wa kupiga wanawake and thats ignant shit
He just needs to come right to folks if he needs assistance for his NGO rather than critisizing folks in the US. What really suprise me is the booming of this NGO back home. Suddenly it looks like their is a helping hand and on the other side this NGO's are just some folks interpreneur minds in profiting thmselves or means of tax exemption. These NGO's taking a toll in our economy without being audited because its just somebodys business.
ReplyDeleteI congatulate you dude if you doing for the good faith but if its one of the means of your survival back home then shame on you.
A Wachovia employee in Charlotte has made it his mission to raise money for food, medicine, and running for children in Africa.
ReplyDeleteHii ndo point hasa kuhusu John Mashaka.
Si kwamba pesa anazotoa ni zake bali huchangisha kutoka kwa watu mbalimbali.
Hi,
ReplyDeleteWewe anon April 14,1:47.Unasema wenzio wanaongea hovyo kumbe wewe ndiyo unaongea pumba kabisaa....Eti utupe fact,fact zichoka hivyo.Mimi nimekuwa hapa usa/mn takribani miaka mitano,ni midogo lakini nimeona,na ninajua kwa hakika hali halisi ya maisha ya watanzania na si kwa hapa tu mn,na hata state zingine kama vile tx,.Unasema kitu muhimu sana ni makaratasi...!! sisi tunachojadili hapa si suala la residence mzee,kwani hatu-focus mtu kuishi hapa usa tu,bali tunajadili maisha ya baadae pia ya utakaporudi nyumbani kama huyo mwenzetu Mwita,utaishije...!!!,Elimu ndiyo kitu muhimu kwa mtu yeyote/Mtanzania anapokuja hapa Marekani na si makaratasi....!!!,Makaratasi sasa hapo wewe unataka kuzamia kimoja...!!!.Ukiwa huko hapa unasoma,definately utakuwa kwenye status mzee,utafanya kazi,utasaidia home,utaweza kujiweka sawa home/tz,na hata ukimaliza shule yako waweza kupata working visa hata ya miaka mitano ili umalizie maandalizi yako ya kurudi nyumbani,tz.Unaposema eti ukiwa na elimu yako nzuri hapa usa kama Finance,computer utapata kazi nzuri hapa usa,huo ni uzushi,tunao watu kibao hapa wana masters za Finance,phd za computer science wanafanya kazi za mitaani,zisizorasimi za dola 10/hr ambazo haina uhusiano kabisaa na hizo fild zao.Kitu muhimu hapa mzee si kufocus makaratasi kutaka kuzamia bali ni kufocus kufanya maandalizi nyumbani kwetu,ili tukirudi tusijekuchekwa na wenzetu tuliowaacha au kuanza moja kama mwenzetu Mwita.
Kitu muhimu hapa ni Elimu,kufuata sheria za nchi,epuka starehe hisiyokuwa ya lazima,mche Mungu,Piga box kwa nguvu zote,and save home,fanya maandalizi ya kurudi home....na si maandalizi ya kuzamia.....!!!!!!!!!
jamani kaka nimetokea kukupenda nipe e mail yangu basi ili tuwasiliane
ReplyDeletewewe mike safari ya mkurang ando mnafiki mkubwa kwani tutakuamini vipi kama mwandishi unaetoa ushahidi hapa...au wewe mashaka mwenyewe umejifagilia hapa?kwanza unaropoka tu wewe kwani ukiongea kiswahili hatukuelewi hadi utie kingereza?ushamba tu
ReplyDeleteJamani just give a guy a credit, hata kama anafanya fund rise au garage sale. He still work hard kwa nchi yake, kutoa ni moyo usambe si utajiri.
ReplyDeleteWachovia, wachovia.... Wachovia has nothing to do na utoaji wake. Ingekuwa ni hivyo basi asingetoa kitu mwaka huu maaana Wachovia wamepata big slap na mortgage crisis, na erning zao ni negative. But sababu jamaa is committed kusaidia then inshallah anaendeleza gurudumu
Big Up Mashaka
Mdau wa Texas
Hapana, Mike siyo mnafiki. Mnafiki ni wewe unamuonea wivu kaka wa watu kwa sababu kafanya ili na lile.
ReplyDeleteNadhani kichwani aidha una makamasi sana, au uliogopa umande sana, na taarifa yako utakuja kufa na majungu, yaani unamsakama mashaka pamoja na mwandishi kumtetea, oya wee, mkeo anashuguli. Mwanamme wivu, duh sijawai ona
MTZ
Jamani hacheni upumbavu, hata kama Jamaa anafanya kazi ya kuosha viombo, au kuchamba wazee, heri yake anarudi pamoja na usaidizi wa marafiki na kusaidia wewe jee?
ReplyDeleteHongera Mashaka, usikate tamaa. Wakina Mura watakusaidia nyumbani naona mura pia ni mtu wa maendeleo
Anayesema makaratasi ukiwa nayo USA basi umewin hajui anachosema.
ReplyDeleteElimu ukimaliza USA inategemea field yako kama iko kwenye market.
Kuna watu wana degrees, masters na hata PHds na kazi ni za kawaida tu wanafanya. Kuna watu wana AA tu za nursing na wana make good money na double shift zao.
Kuna watu wana makaratasi na hawamake good money kabisa na kuna watu hawana hata karatasi na wanamake good money.
Na Green card/naturalized citizen ya USA siku hizi nzuri ikiwa wewe ni mtu mwenye akili. kama wew ni mtoto wa mjini kama huyo unarudishwa tu siku si nyingi. Kuna vijana wakinigeria walisotea makaratasi mara walipoyapata walijifanya kuanzisha sijui biashara gani..kumbe wlikua sijui wanaiba na kwenda kwao kila mara. Mara wakawekwa jela na wamerudishwa kwao na makaratasi yao.
Sheria ya sasa hivi kama wewe sio mzaliwa wa USA hata ukiwa na green card au naturalized citizen ukifanya kosa la kufungwa zaidi ya miaka 3 au 5 siku hizi wanakudeport.
Watu wamesahau huku tunamakaratasi lakini sio kwetu. Wenye raha ni hawa watoto wetu tuliowazaa huku.
Mura achanaga na merikani diri ni kujiuunga na rijeshi ra wananchi na kuendaga comoro. Muulizage afande marwa na chacha watakusaidiaga na mipango ya kujiunga na rijeshi letu.
ReplyDeletehey wadau wa houston please do you know Flora Mochiwa na Gloria Madoshi.PLEASE IF ANYBOBDY KNOWS THEY CONTACT PLEASE LET ME KNOW
ReplyDelete