Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kipanya massage imeeleweka U got to endekeza ushirikina/ uchawi to move forward. sasa wabongo mtamwelewa kipanya massage aliokuwa unawapa picha kamili.
ReplyDeleteAn artist massage is always abstract with different meanings.
Nimewahi kuona picha ambayo inategemea na mood ulikuwa nayo. Unaweza kusema hiyo picha mtu analia au ana furaha.
Kipanya get on their heads man u just doing a wonderful job
Anony wa kwanza tuko pamoja, kipanya message zake zimetulia yakupasa ukae chini utafakari mara mbili.big up kipanya.Lakini utaona 'senene' wanavyompinga na kumponda.
ReplyDeleteHivi kipanya umeshatengeneza kitabu cha collection zako au copyright niaje? Tengeneza kitabu zisije cartoon zako zikasahaulika kama zile tulikua tunasoma tukiwa wadogo kwenye gazeti la uhuru za wababu wa wilili hivi na mwanamke mmoja walikua wanavichwa virefu.
ReplyDeleteAnonymous wa hapo juu 6.09pm naakunga mkono, enzi zetu chakubanga ,polo, chupaki, mama chupaki na wageni wao kadhaa ,walikuwa wakituweka up to date na social political atmosphere ya wakati, LAKINI MZEE KIPANYA WEEWE SIO TU UPO MATURED ON THIS SUBJECT ,BALI WEWE MWENYEWE NI MODERN, FUNKY "ON THE MONEY", KWA HIYO SUALA LA KITABU NI MUHIMU MZEE. MAANA WENGI TUPO NYUMA YAKO. LABDA HAPO MBELE YA MAISHA TUTAKUKUTA KWENYE UGOMBEZI WA UONGOZI WA NCHI KWANI MTAZAMO WAKO WA KISIASA NI MFANO KWA HI MODERN GENERESHENI,.....KITABU MUHIMU
ReplyDelete