Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KIFUNGILO OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! NA TUENDELEE KULENGA JUU! YAANI KWELI INAPENDENZA KUSOMA SHULE YETU INAVYOJITAHIDI KUELIMISHA JAMII YA KESHO, I HOPE KWAMBA WENZANGU TULIOSOMA HAPO TUTAENDELEA KUISAIDIA SHULE YETU ILE NA WALIMU WAPATE CHANGAMOTO ZAIDI KUSAIDIA WENZETU.
ReplyDeleteWe kipanya mshenzi tu vilele vile....
ReplyDeleteHivi kweli we anon wa pili..karne hii bado unaweza mtukana mtu eti mshenzi kwa kuelezea maoni yake? na elimu yote uliyonayo (hapa na-assume kwa uwezo wa kuingia globuni kwa mithupu, basi hakika ulifuta ujinga!)..karne hii bado unarusha matusi from no where? Anyway dunia ina mengi! Kwa hiyo hatuna budi kuvumiliana..
ReplyDeleteKP alichokifanya cha ushenzi ni kipi? kwa yeyote anayetoka dunia ya nne anaelewa vyema ujumbe wa hiyo katuni...
Jioni njema lakini!
Kipanya umeniacha hoi!
ReplyDeleteMdada kashika usukani kijana kwa nyuma analia. Safi sana tukiona dada zetu wanachangamka. Lazima tu in a long run Rais wa kike Tz apatikane.
Wadau mnasemaje!? Ladies nowadays are serious bwana, they can make it!
Nimeangalia shule zote za akina dada zilizoongoza. Kweli nawapa hongera, ila swali ni kwamba, wameongoza hasa katika mchepuo gani?? tunarudi kule kulee!! HGK, sijui HGL nk. Sio kwamba nina wivu wa kijinga ila ukweli ni kwamba kwa upande wa masomo ya sayansi.. bado sana. Changamoto kwa shule zote zilizoongoza waanzishe basi michepuo ya sayansi halafu uone moto wake!!!!! HATA HIVYO HONGERENI SANA AKINA DADA!!!!
ReplyDeleteSio kukosa muelekeo ni kuwa nchi yetu bado haijawa na gender equality katika mambo mengi tu.
ReplyDeleteBongo mambo memgi bado unaulizwa umri, gender na picha uambatanishe kabla hujapewa kazi .
Hata kama unaujuzi mzuri na akili klakini kama sura au umri umeenda utakataliwa. Sio vizuri kuwa age, gender na sura discrimination... Manake ukiambatanisha picha yak katika kuomba kitu kama wewe sio mzuri basi bosi hakupi kazi. Na kama wewe mwanamke basi atapewa mwanamme...Mwelekeo tutapata wapi?
Mimi sipendi shule za kusomesha wanaume wenyewe au wasichana wenyewe. Nimeona huku niliko kuna tofauti kubwa sana ya wanafuzi waliomaliza elimu zao kwenye shule za wasichana wenyewe na wale waliosoma shule za mchanganyiko.
ReplyDeleteWaliosoma shule za wasichana peke yako wako mayai mayai, maneno mengi, majungu, hawako strong na wanakua kama kuku katoka kamba wako macho mengi sana. Lakini wale waliosoma shule za mchanganyiko wako strong, hawana umbeya sana na wala kwa macho ju juu ni wachache sana.
I hope wangeangaliaga hili kwa kuwa challenge enough na future social life segregation sio nzuri. Ukianza kusocialized na gender tofauti ukiwa mtu mzima tabu sana.
ndio maana hiyo cartoon inaona jinsi wanvyoongoza wakiwa wenyewe lakini wakishaingia kwenye real world wanaloose focus kwa vile walikua hawajawa challenged enoughna hawakua prepared enough kwa hilo
KIPANYA HUYO ANON HAPA JUU ANATUKANA MTU MSHENZI!!HUKO NI KUPITWA NA WAKATI WATU HUWA HAWATUKANI ADHARANI LABDA KAMA WAMELEWA..OK SASA OJA YANGU KWA KIPANYA NI KUWA SHULE ZINAZOSEMA WANAWAKE PEKEYAKE HUWA BAADAE WANA CHANGE MAANA WANAKUWA HAWANA EXPIRIENCE YA KUONA WANAUMME,WAKITOKA HAPO WANAKUWA NA MSHAWASHA NA WANAUMME NA WANASAHAU KABISA MAMBO YA MASOMI NA KUISHIA KUBAYA..NI HAYO TUU..MDAU.....
ReplyDeleteMimi siwezi kukuita mshenzi coz haitasaidia ila wewe kipanya ni mnyanyasaji wa wazi wa kijinsia, to be honest sijapenda ulivyoashiria kuwa hata kama mtoto wa kike akiongoza bado kuna sehemu atahitaji msaada wa mtoto wa kiume, that is not true kabisa hali hiyo haipo au umesahau MAFANIKIO YENU YANATOKANA NA SISI? Au umesahau kuwa wewe mwenyewe kufikia hapo ulipo ni juhudi za watoto wa kike ambao wamepitia kwenye maisha yako ukimjumuisha mama yako mzazi na bado unatuhitaji?. Kama msichana ambae mara nyingi nawaongoza nyinyi wanaume na naamini ntaendelea kuwaongoza sijapenda wewe Masoud Kipanya kuendelea kuupigia debe mfumo dume na kututukana wazi wazi, naomba ututake radhi.
ReplyDeleteKwamba huwa 'naongoza baadae nikifika mbele nakosa mwelekeo!' Maana yake nini??? mie sijaelewa hapo. Wadau naomba nihabarisheni.
ReplyDeleteTunakosa muelekeo kwa vile wengi wetu hatujiamini, nashukuru mashirika yanayowajengea uwezo wanawake kwa kampeni hii tutafika na hatutapoteza muelekeo nina imani. pili hiyo comment ya shule za art kuongoza ni kweli na ukiangalia somo la divinity ndio limewaweka hewani! but all in all wameongoza na hongereni sana. kwa wale ambao wapo bado mashuleni hebu wekeni rekodi kwenye sayansi na tuongeze MEWATA wengi nchini pamoja na WAHANDISI
ReplyDeletemuelekeo unapotea pale unapokwenda chuo na kukuta boys darasani wakati wewe umezoea girls ghafla unaposikia sauti kavu za kiume unapata woga, bado hawajakutaka mapenzi na kukupangia timetable saa ngapi uwe room kwake nk, bado hujakutana na mashindano ya mavazi.
ReplyDeleteHutapoteza muelekeo pale unapokuwa na MALENGO jua nini una TARGET basi utaeenda tuu, wengi wameenda na wapo mbali sana sana naomba wawe CHANGAMOTO KWAKO!!
HONGERENI SANA WOTE MLIOFANYA VIZURI!!!
dah kweli lakini, May 8, 2008 12.01am sijui nikuunge mguu au mkono, manaake ulichosema ni kweli kabisaaaaa.
ReplyDeleteWakija duniani wanapoteza muelekeo wakikutana na jinsia hii nyingine inakula kwao.
Wewe unayezungumzia kua shule za wasichana zilizoongoz ni zile zenye mchepuo wa HGK, HGL, swali langu ni kuwa mbona kuna shule za wanaume watupu tena zinajulikana kama special schools mfano Tabora boys na wanatoa HGL,HGK kwanini hawakuongoza? kozi si ni hizo2? acha hizo mtu akifanya vizuri mpe sifa yake na usianze kuweka hizo lakiniiiz.
ReplyDeleteNdio maana huyo anony wa pili akakuita mshenzi!!!! huwezi kutuambia sisi wanawake kuwa tukifika mbele tunapoteza mwelekeo!!!
ReplyDeletemhhh heee! kipanya unaniacha ohoi ! yaani mmh acha tu yale yale !
ReplyDeletemkiwachanganya Wanachanganyikiwa halafu wanakuja juu wanaona haya hawakosi sababu yote, this time walijisahaau kwa mvinyo .
Mkiwashtua kidogo tu maneno kibaao na matusi juu ndo nini sasa?
hapohapo mkifanikiwa wanaletwa vikwazo kama hivyo ate sisi ni wamsimu angalia krane tuliyoko na tunayokwenda kipanya acha hizo
bado mkikutana juu kwa juu wanataka mchangie huduma muhimu mmmmh viumbe hawa ni waajabu kweli kweli hata sijui niwaweke fungu gani .
hebu muagalieni huyo kipanya, kila siku anaogozwa na fina bado analeta kokoro mwe hebu niacheni mieeee.
GILRS YOU HAVE SHOWN YOUR EFFORTS
SI MNAJUA MFAMAJI HAISHI KUTAPA TAPA ! NA TULENGE KULE KULE WALIKO WATACHUKA TU ( KIFU MEMBER)