Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2008

    Mhhh yaani hapo peke yake POUND ndio inanguvu kuliko hela zato kwe babu kubwa sasa jamani naomba kuuliza maana hapo sijaelewa vizuri naombeni kuuliza eti 1 pound sasa hivi ni shilling kwa tanzania?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2008

    JAMANI, AU MACHO YANGU TU? NINAONA KAMA RIYAL YA OMAN NDIYO INAYOTAMBA HAPO. RIYAL 1 INABADILISHWA KWA SHILINGI 2500, WAKATI PAUNDI INABADILISHWA KWA SHILINGI 2340. HAPO IMEKAAJE?

    NAOMBA JIBU WAZEE WANGU,

    Nipashe.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2008

    We mdau wa kwanza huna macho nini... huoni RIYAL hiyo?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2008

    Ok thank Mkuu michuzi kwa kazi nzuri sasa wewe mdau wa tatu mimi nimeuliza swali wapi nimekosea au asubuhi umeamka bila kupiga mswaki ukaamua uninushe na mdomo wako?kama ulikuwa huna jibu wewe kaa kimya kwanza sijakuuliza kitu ok thank

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...