Home
Unlabelled
madafuzzz leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mhhh yaani hapo peke yake POUND ndio inanguvu kuliko hela zato kwe babu kubwa sasa jamani naomba kuuliza maana hapo sijaelewa vizuri naombeni kuuliza eti 1 pound sasa hivi ni shilling kwa tanzania?
ReplyDeleteJAMANI, AU MACHO YANGU TU? NINAONA KAMA RIYAL YA OMAN NDIYO INAYOTAMBA HAPO. RIYAL 1 INABADILISHWA KWA SHILINGI 2500, WAKATI PAUNDI INABADILISHWA KWA SHILINGI 2340. HAPO IMEKAAJE?
ReplyDeleteNAOMBA JIBU WAZEE WANGU,
Nipashe.
We mdau wa kwanza huna macho nini... huoni RIYAL hiyo?
ReplyDeleteOk thank Mkuu michuzi kwa kazi nzuri sasa wewe mdau wa tatu mimi nimeuliza swali wapi nimekosea au asubuhi umeamka bila kupiga mswaki ukaamua uninushe na mdomo wako?kama ulikuwa huna jibu wewe kaa kimya kwanza sijakuuliza kitu ok thank
ReplyDelete