
Endapo kuchanganya utaifa,damu na tamaduni mbalimbali ni mojawapo ya chachu za mafanikio fulani hapa duniani, basi ushahidi wa dhana hiyo unaweza kuupata kwa kuangalia maisha ya mrembo Miriam Chemmoss(pichani).
Miriam ni muigizaji,mwimbaji,mtunzi wa nyimbo na pia mwanamitindo (model) ambaye mpaka hivi leo ana haki ya kusimama na kujivunia rekodi yake katika ulimwengu changamani wa sanaa na maonyesho.Mwenyewe anasema safari yake ndio kwanza inaanza kwani bado ana ndoto na malengo chungu mbovu ya kutimiza.Hivi leo kazi zake nyingi anazifanyia kutokea jijini New York nchini Marekani anapoishi. habari kamili nenda http://bongocelebrity.com/


Congs.I do feel ur work please keep it up. Why cant Tanzania have enterprising ladies like this one! Iknow there some but most of the ladies wanapenda sana kuchuna, lakini hawajuhi kwamba wengine hatuishiwi paper!
ReplyDeleteMulox
we mulox unaongea pumba gani,kama umechunwa ni wewe kivyako...
ReplyDeleteMulox hebu nyamaza...au ndio nyie nyie...Mimi sisemi lakini nimekwenda imodel hata portfolio siiioni jina tu lakini no portfolio au ndio ........?????? Changa ya macho...You know.....I like vitu vinavyojitangaza vyenyewe sio kutangazwa huko bongo kumbe huku tuliko ni different story...ulimwengu wa mtandao huu siku hizi hamna hiki cheusi au hiki chekundu...hamna changa ya macho huku
ReplyDeletewewe mulox wewe mshamba nini mulox?? MULOX SHUT UP MULOX!!!1!
ReplyDeletemshushuaji