Endapo kuchanganya utaifa,damu na tamaduni mbalimbali ni mojawapo ya chachu za mafanikio fulani hapa duniani, basi ushahidi wa dhana hiyo unaweza kuupata kwa kuangalia maisha ya mrembo Miriam Chemmoss(pichani).


Miriam ni muigizaji,mwimbaji,mtunzi wa nyimbo na pia mwanamitindo (model) ambaye mpaka hivi leo ana haki ya kusimama na kujivunia rekodi yake katika ulimwengu changamani wa sanaa na maonyesho.Mwenyewe anasema safari yake ndio kwanza inaanza kwani bado ana ndoto na malengo chungu mbovu ya kutimiza.Hivi leo kazi zake nyingi anazifanyia kutokea jijini New York nchini Marekani anapoishi. habari kamili nenda http://bongocelebrity.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2008

    Congs.I do feel ur work please keep it up. Why cant Tanzania have enterprising ladies like this one! Iknow there some but most of the ladies wanapenda sana kuchuna, lakini hawajuhi kwamba wengine hatuishiwi paper!
    Mulox

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2008

    we mulox unaongea pumba gani,kama umechunwa ni wewe kivyako...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2008

    Mulox hebu nyamaza...au ndio nyie nyie...Mimi sisemi lakini nimekwenda imodel hata portfolio siiioni jina tu lakini no portfolio au ndio ........?????? Changa ya macho...You know.....I like vitu vinavyojitangaza vyenyewe sio kutangazwa huko bongo kumbe huku tuliko ni different story...ulimwengu wa mtandao huu siku hizi hamna hiki cheusi au hiki chekundu...hamna changa ya macho huku

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2008

    wewe mulox wewe mshamba nini mulox?? MULOX SHUT UP MULOX!!!1!

    mshushuaji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...