Shikamoo kaka Michuzi,
Nawatafuta marafiki zangu wafuatao; Saidi Johari ,Mariam Mavura, Willbroad Karugaba ,Nancy S , hawa nilifanya nao kazi na World food Programme (WFP) Dodoma mwaka 2001, pia Gisella Ngoo, Gideon Ngoo, Jackson Daniel,Tisha Ndejembi,niliambiwa kuwa hawa ndugu zangu wako Uingereza. Caroline Kilembe(Msigala), huyu nasikia yuko wizara ya Kilimo Idara ya Extension .
hawa wote nilifanya nao pia kule Dodoma na shirika la Misaada la Norway la kugawa Uponi ( NPA ) , pia dada Mariam Mavura (mama Irene) alikuwa anafanya kazi NPA. Naomba nisaidie niwasiliane nao kupitia flymushi@yahoo.com
Naomba mdau yeyote wa glob hii ya jamii anaefahamu contact za yeyote hapo juu anisaidie
Nashukuru sana kaka
Flora Lucas Mushi
Naomba mdau yeyote wa glob hii ya jamii anaefahamu contact za yeyote hapo juu anisaidie
Nashukuru sana kaka
Flora Lucas Mushi


Huyo Tisha NDEJEMBI ana uhusiano wowote na Mzee Ndejembi-CCM Dodoma, kama YES, nijibu hapa then ntakupatia namba za jamaa zao wengine nnaowafahamu kupitia email yako.
ReplyDeleteLondon
wewe flora unawatafuta hao kina ndejembi au unawatumia salamu..kama radio tanzania enzi hizo..maana unawajua wote walipo, sasa unawatafuta kivipi?
ReplyDelete