mdau glory katuletea picha hii aliyopiga karibuni kuonesha mlima oldonyo lengai unapofuka moshi. miezi kadhaa ilopita ulileta kasheshe ulipoanza kutema moto ila sasa umetulia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2008

    Du hapo hapatoshi mtu wangu kweli!!
    Nafikiri hata wale wamasai wabishi kabisa wameshatimua
    Lakini walikuwa wanadai kuwa ni mungu wao kakasirika wakatambikia hivi hasira zake hazikutulia?
    May be walipeleka sadaka ndogo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2008

    yeroiii yerooiii ni kweliii au naota!?aisee

    sasa huu mlima mbona hatujafundishwa shule,mi nilikua siujui hati

    babygal

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...