Home
Unlabelled
jk na chris tucker, jesse jackson
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hONGERA KIKWETE TAI YAKO INAFANANA NA HAO WAMERIKANI HAPO KULIA. NGOJA NIKUFAGILIE KGB BRO.
ReplyDeleteMbona kama jamaa hana taimu na bosi wetu? au kamera tu ilidelay mkono walishapeana? Maana hapo naona Jese ndiye anaongea na Taka sio presidaaa au macho yangu jamani!
ReplyDeleteTucker anasema " du kumbe mafisadi huku hawachukuliwi hatua?naomba nihamie huku mheshimiwa "
ReplyDeletehapo inaonekana Taka alikuwa anaelezea kitu manake hata jese anamuangalia yeye..
ReplyDeletena Taka..anaangalia pembeeni.. hamuangalii jesse wala JK.. so sio kwamba hana taimu na Bosi wetu.. ni vile tu alikuwa anatoak kichekeshao kwa upande wa kushoto..Teheheteeh
Waamerika wenye asili ya Afrika wanapenda sana ku-rub shoulders na marais wetu kirahisi! Ndio inayowapeleka kwenye mikutano!
ReplyDeletePili, walikuwa wnalalamika kuwa marais wetu wanawaacha mtaani kwa kufanya biashara na wazungu tu. Kwahiyo, wakapendekeza kujipenyeza ki-Sullivan ili nao wale keki ya Afrika, kama wazungu walimbikizaji!
Ukiangalia picha kwa makini hasa mikono utaona kuwa Chriss anaongea na Jesse, na JK anaongea na mtu mwingine na hayuko kwenye mazungumzo kati ya Chriss na Jesse, ila ameshikana/anasalimiana kwa mikono na mtu mwingine pembeni ya Chriss
ReplyDeleteMdau- Amsterdam
wewe mdau wa Amsterdam unaangalia na m'K wako nini?
ReplyDeletewe anon june 04, 2008 3:17 am. nahisi ndio unamakengeza.
ReplyDeletemadau-amsterdam amesema angalia mikono ya JK, ni kweli JK ameshikana mkono na jamaa ambaye amezibwa na Chriss.
Nahisi umekurupuka tu!
The Pride of Africa:Jesse Jackson,Chris Tucker,Kikwete and not in the pic ofcourse Andrew Young,Olusegun Obasanjo and the entire Sullivan Family!Tanzania is your HomeLand,welcome back to Africa!
ReplyDelete