Home
Unlabelled
kocha victor stanceslaus
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kama mtawakumbuka akina MKWECHE, ADOLF RISHAD, BONA MAX huyu nidiye aliyewapandisha chart, by the way kuna mtu anajuwa habari za akina MUHAJI MUKHI, KABURU hawa walitoka LINDI timu ya NCHI YETU wakati huo ikijulikana kama YANGA ya LINDI, walionwa na YANGA yeneyewe walipokenda kucheza LINDI na kuwasajili hawa vijana machachari na hata walipokuja YANGA Dar pia walikuwa moto wa mbali. natakata kujuwa kama wapo wapi?
ReplyDeletehapa takriban 1974 namwona elias michel katikati na mjomba marehemu hussein gobbos kulia kabisa, mjomba mkubwa hassan gobbos simuoni nadhani alikuwa anachapa matindi osterbay, namkumbuka victor alikuwa anapiga kelele akisema "badilisha" kiwanjani kwenye mechi mara kwa mara, profesa victor aliajiriwa na timu ya mwadu baada ya kumaliza mkataba wake na yanga.
ReplyDeleteHongera bwana Michuzi kwa kutukumbusha wachezaji wetu wa zamani. Tupe wengine zaidi tuwaone walivyokuwa enzi hizo. Hawa ni pamoja na akina Leodgar Tenga (alionekana katika nusu picha wiki iliyopita), Aden Rage, Leopold Taso, Sunday Manara, Daudi Salum, Kitenge Baraka, Marehemu Mohamed Chuma, Omar Zimbwe, Marehemu Gibson Sembuli na wengine wengi waliotikisa viwanja vya soka Tanzania enzi hizo.
ReplyDelete