waziri mkuu mh. mizengo pinda akiongea na mbunge wa kuteuliwa mh. thomas mwang'onda nje ya bunge leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2008

    dah..huo mkono ni kama anamwambia mr. prime minister : 'naapa kusema ukweli,na ukweli tupu' like in court

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2008

    Jamaa wana moyo, maana hilo jua la Dodoma na Suti sijui inauwaje? Lakini naona PM baada ya post mambo mswnu maana Uhendisamu unamyatia.....JK upo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2008

    aisee pinda kweli anapenda simu yake maanake kila picha yuko benet nayo

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2008

    kwa taarifa yako dodoma mwezi wa tano mpaka wa tisa hali ya hewa baridi, jua linaanza mwezi wa kumi mpaka march. usishangae wanavaa kufuata msimu, mwezi ujao ndio baridi sana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2008

    BWANA MICHUZI SI USEME TUU THOM APSON, HAKUNA HAJA YA KUFICHA ANAJULIKANA WAKATI WOTE HATA VYETI VYAKE VIMEANDIKWA THOM APSON LEO ANAONA SOOOO KUTUMIA JINA HILO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...