mkuu wa itifaki wa kamati ya miss tz anko albert makoye akiwapongeza washindi wa miss morocco
mama wa mitindo bongo asia idarous akipozi na washindi wa miss morocco usiku huu ukumbi wa new msasani club. mwenye kijani ndiye aliyetwaa taji la miss morocco 2008 lilian evarist, wa pili judy joseph (wa pili kulia) wa tatu agusta masaki (pili shoto), catherine shirima (kulia) na wa nne ni mariam maneno (shoto).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2008

    Hongereeni nyie mabinti.Keep going.Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2008

    Duuuh ujue Makoye anachagua mtoto hapo1maanake ndo zao hizo yeye na Lundenga.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2008

    Ebwana kweli sio tu anko Makoye kujichagulia mtoto ila wanajilengesha wenyewe na hivyo wanamjua ni mambo safi senior barchelor(hajaoa)basi full kumiminika home kwake mikocheni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...