mkuu wa itifaki wa kamati ya miss tz anko albert makoye akiwapongeza washindi wa miss morocco
mama wa mitindo bongo asia idarous akipozi na washindi wa miss morocco usiku huu ukumbi wa new msasani club. mwenye kijani ndiye aliyetwaa taji la miss morocco 2008 lilian evarist, wa pili judy joseph (wa pili kulia) wa tatu agusta masaki (pili shoto), catherine shirima (kulia) na wa nne ni mariam maneno (shoto).

Hongereeni nyie mabinti.Keep going.Mungu awabariki.
ReplyDeleteDuuuh ujue Makoye anachagua mtoto hapo1maanake ndo zao hizo yeye na Lundenga.
ReplyDeleteEbwana kweli sio tu anko Makoye kujichagulia mtoto ila wanajilengesha wenyewe na hivyo wanamjua ni mambo safi senior barchelor(hajaoa)basi full kumiminika home kwake mikocheni.
ReplyDelete