supa modo bi. kidude akipita jukwaani kuonesha vazi la khanga na kutia fora katika shoo ya mustafa hassanali ya khangadelicious usiku huu
flaviana matata, bi. kidude na miriam odemba
masupa modo miriam odemba, bi. kidude na flaviana matata katika shoo ya khangalicious usiku huu hoteli ya moevenpick, dar

Hii kali!!
ReplyDeleteUkisikia 'eighteen-till-i-die' ndiyo hii.
Hongera bi Kidude
Maisha ni vile unavyojifikiria.
gimmicks and ridicule, it make puke on my dinner.
ReplyDeletemdau wa USA.
Mdau June 21, 2008 9:56 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteJust hold that thing tight...you will puke after looking at youself at some age if lucky to live long! no hate USA
Flaviana jamani unazidi kupendeza!!Naomba usikome kuutumia kwa busara uzuri wako!!
ReplyDeleteBi Kidude shikilia uzi huohuo...!
Anonymous of 9.56am.
ReplyDeleteWhat made you puke? the picture or your awful dinner?? whatever that was, i'ma give you a quick advice-think before you say somethin and dont discriminate...
you puker, watch out, are u gonna live to reach her age?.. and if u do i do agree with the anon 11:26 am and anon 1:17pm.. benchotte kabisa wewe.
ReplyDeleteMiriam, looking preety as usual..
ReplyDeletehongera dada..
Sio kila Mtu ni Rihanna.... Miriam hiyo style ya nywele haijakupendeza...tafuta nyingine..
ReplyDeleteKhanga ni vazi sio kitambaa. Ukitumia khanga kishonea nguo aina nyingine yoyote inacah kuwa khanga na kuwa hiyo ain aya nguo. kwa mfano ukishonea khanga suruali au shati na kisha ukavaa si sahihi kusema umevaa kanga.
ReplyDeleteKhanga ni wakati umejifunga au umejitanda. wabunifu wasituharibie ukweli kwa interest zao.
tulitarajia tuone watu walivyofunga khanga na si magauni tena.
Anno June 21, 2008 9:56 AM,
ReplyDeleteYou puke because your stomach is wrong not because of the show
You Puker! ar puking because of our African GrandMother??? watch out, dont ever set you ugly face again in our Bongo...again...Nyambaff!!
ReplyDeletehuyu sarungi anafanya nini, toto flaviana mbona anabakia gumzo tuu, mambo ya kuozea bongo ni noma. Huyu mtoto mpelekeni nje bwana, mnaona kabsaaa ni kifaaa, kazi kupigwa picha zisizoeleweka.
ReplyDeleteAmekwisha pata sifa ktk taifa letu, sasa ni kimataifa kwenda mbele. Mtoeni bongooooo, bongo njaaa tu kwa supa modo huyu!
jamani mwacheni Odemba, enzi zake alikuwa full supa modo, kuingia kwenye top 5/10 ya face of africa si mchezo.
ReplyDeleteMercy Galabawa na Emily Adolf, totoz wengine full vifaa, sijui wamepotelea wapi!
Mbala
Bi Kidude is a Living Legend in her own right!Hapo alipofikia angestahili kabisa kupewa nishani na tuzo ya Uprofesa katika Fani yake!Ni kwamba tu sisi wenyewe bado Mazumbukuku Mzungu wa Reli hatujui Thamani ya Maisha na Jinsi Binadamu anavyo paswa kuwajibika katika maisha na jinsi gani mchango wake utakavyo paswa kuthaminiwa na jamii.God Bless Bi Kidude,Mwenyezi Mungu akuzidishie Maisha marefu zaidi yaliyo jaa heri na afya tele! Wangapi waliobahatika kuufikia umri wako na kuwa jasiri kiasi chako,Bi Kidude? Sawasawa na kuutafuta mmea jangwani! Flaviana na Miriam hongereni sana kwa kulitambua hilo na kuamua kupiga picha ya ukumbusho na huyo Nyakanga Wenu(wetu)!Ahsanteni Sana.
ReplyDeletewhat the hell is puke?????u people do u think everyone here is mzungu??msiokote-okote vijisentensi vya chooni,,,alaaaaa,,,watu wametoka fresh afu mwaleta usuper-star apa??afu wee anoni wa ngapi sijui khanga haiitwi khanga eti sababu wafunga,,,ata ikishonwa yaitwa vazi/nguo ya khanga
ReplyDeletewe puker, utakua unatatizo la kisaikolojia. kufikiria hauwezi kujizuia ila mpaka unaandika kabisa........... eti it make me puke on my dinner, kingereza chenyewe cha kuunga, umeenda kununua ma kuku yaliooza huko, ma junk food ya USA baada ya kupata vijisenti tena baada ya kufanya kazi ya kuosha vyoo. Unatapika alafu unasingizia picha, we bibi yako huku bongo yukoje. Shame on you for your statement diner unaijua wewe
ReplyDeletewe puker, utakua unatatizo la kisaikolojia. kufikiria hauwezi kujizuia ila mpaka unaandika kabisa........... eti it make me puke on my dinner, kingereza chenyewe cha kuunga, umeenda kununua ma kuku yaliooza huko, ma junk food ya USA baada ya kupata vijisenti tena baada ya kufanya kazi ya kuosha vyoo. Unatapika alafu unasingizia picha, we bibi yako huku bongo yukoje. Shame on you for your statement diner unaijua wewe
ReplyDelete