Mkemia Mkuu wa Serikali Dk. Ernest Mashimba akipata maelezo ya Vipengele vya KATIBA YA jamuhuri ya MUUNGANO WA tanzania toka kwa Ofisa wa Muungano Bi Martha Mashula alipotembelea Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais kwenye Maonyesho ya Utumishi wa Umma huko Mnazi Mmoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2008

    Ameshamaliza kazi ya kuchunguza uchawi wa bunge??? mbona hatupatii majibu tukajua tuanzie wapi??

    watu wengine fiks kweli eti vumbi na mifagio vimepelekwa kwa mkemia. nani kawaambia ukumbi wa bunge una vumbi la kufagia na mifagio ili likusanywe lipelekwe. jamani jifunzeni kudanganya.

    Nashangaa wanapoteza muda wakti kila mtu anajua jibu la mkea ni kuwa hilo vumbi ni salama na halikuwa na chochote. Bwanawe kwani vumbi ni nini si unaweza kuchota hata mchanga popote ukapeleka???? na watu wakapat aposho zao.

    Ngoja mtasikia linapelekwa afrika kusini na marekani mjue mtu keshagundua ulaji hapo.
    kufa kufaana hongera mlozi wetu kutupatia chakula. na kesho uloge tena please....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2008

    DR. ERNEST MASHIMBA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2008

    Anaitwa Ernest Mashimba na sio ulivyoandika!
    asante

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2008

    Jamani wee mtani wangu mzee Mashimba wewe ni civil servant wa muda mrefu lakini hauijui katiba,si balaa hili jamani?. je sisi wengine waogopa umande ndio itakuwaje?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 23, 2008

    Bila shaka Mkemia Mkuu hapo kesha baini kwamba Katiba yetu ya Jamhuri ina Carbon Dioxide nyingi sana,na kwamba ipo haja ya kuiongezea Oxygen kwa wingi zaidi.Hilo liweze kufanyika itabidi achukue hiyo sample ya Katiba na kuipeleka Maabara kwa Uchunguzi zaidi.Kwa bahati mbaya katika Sample analysis hiyo hawatashirikishwa Wabunge kwa sababu masuala ya Acid ni hatari sana kwa watu ambao hawana Utaalamu wa Ma Chemistry! Siasa na Chemistry haviivi chungu kimoja,kama ambavyo Blah Blah na Ukweli havikai Zizi moja! Hapo pichani Mkemia Mkuu alikuwa akikadiria Chemical Balance ya Katiba ya Jamhuri kwa Simulation Method! Wanasiasa watasema alikuwa Akitafakari na Kunyanyambua na Kudedevua Masuala Nyeti kabla ya kuyafikisha Kamati Kuu yaani kabla ya kupeleka kule 'Central'!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...