KIKAO CHA WANA OYSTERBAY PRIMARY WALIOMALIZA 1992.
Wana jumuiya ya O'bay class of 1992 wanapendwa kufahamishwa kwamba kutakuwa na kikao Jumamosi ya tarehe 7/06/2008 nyumbani kwa mwenyekiti Allan mlingi mbezi makonde njia ya kuelekea Essacs Academy.
Watu wote waliomaliza mwaka huo wanakaribishwa kuhudhuria kikao hiki muhimu kwa ajili ya kuanzisha kajumuiya ketu kenye malengo mbalimbali ya muhimu.
Uonapo tangazo hili tafadhali mjulishe na mwenzako ili kufanikisha zoezi hili.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Joan Mungereza,
Madam Chair
au 0713270157.
KARIBUNI SANA TUKUMBUKIE ENZI ZETU.


Allan Mlingi, vipi club yetu ya kuogelea pale UDSM ? Email yangu tongilug@yahoo.co.uk
ReplyDeleteMdau,New York.
mdau na sie wengine tuliomaliza miaka mingineyo(mfano mm 1994) mbona mnatutenga nasi mtufikirie ktk kuriboresha chama letu la o'bay
ReplyDeletenakumbuka enzi hizooo hii ndo ilikua shule ya watoto wa mawaziri na wakuu wa serikalini...
mdau XXXL